Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama uliipenda "lost " wazee wa the others
Basi lazima uipende "the 100" wazee wa the grounders
ipoje hiyo mkuu mana lost ilinibamba sana na ununda wa john locke na mzee wa kutumia akili nyingi Ben linus
je hiyo ina maudhui kidogo km ya lost
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.

Game of throne ipo adi season 5 ni balaaaa

shuveplus
jon snow mwenyewe kapigwa visu sasa sijui atakufa au itakuwa vp mana watu wote wa familia ya stark wanakufa
yaan seriez noma sana naisubiri s06 kwa hamu sijui itatoka lini
waswas wangu wasije wakaicancel km walivyonikatili ktk my favourite seriez KYLE XY niliumia sana walivyo icancel
 
ipoje hiyo mkuu mana lost ilinibamba sana na ununda wa john locke na mzee wa kutumia akili nyingi Ben linus
je hiyo ina maudhui kidogo km ya lost

The 100 inahusu survivals waliokua wanaishi kwenye space baada ya dunia kuwa unsurvivable kutokana na vita ya nuclear...baada ya miaka 97 huko wakahamua kuwatuma madogo mia duniani kuprove kwamba radiation zimeisha duniani ili waweze kurudi maana chombo chao huko juu kilikua kishaanza kuishiwa na hewa...goma linaanza kunoga madogo hao wakifika duniani kwenye msitu ambao wanawindwa na the grounders
 
jon snow mwenyewe kapigwa visu sasa sijui atakufa au itakuwa vp mana watu wote wa familia ya stark wanakufa
yaan seriez noma sana naisubiri s06 kwa hamu sijui itatoka lini
waswas wangu wasije wakaicancel km walivyonikatili ktk my favourite seriez KYLE XY niliumia sana walivyo icancel

Duuh hlf niliona watu wanacomplain hvy kwa nini wanakufa sana mastar,

KYLE XY ilikua nzuri sana ila waliikatisha kwa sababu rate ya watazamaji ilipungua sana.
Kuna series ilitoka wakahamia huko,

Niliumia walivyoikatisha SECRET CIRCLE,
Yan ndio ilikua inazidi kunoga daah!
 
Nlikuw nnaipenda sn kyle xy lkn baada ya kuja kugundua kwmb Matt Dallas n shoga na kafunga ndoa kabsa kw kuolew bas nikaitia kapun
 
nasikia jon snow atarudi though hawataki kuweka icho kitu waziii
 
The 100 inahusu survivals waliokua wanaishi kwenye space baada ya dunia kuwa unsurvivable kutokana na vita ya nuclear...baada ya miaka 97 huko wakahamua kuwatuma madogo mia duniani kuprove kwamba radiation zimeisha duniani ili waweze kurudi maana chombo chao huko juu kilikua kishaanza kuishiwa na hewa...goma linaanza kunoga madogo hao wakifika duniani kwenye msitu ambao wanawindwa na the grounders
seriez mtindo huo ndo napenda sana wacha nikaishushe leo
tatzo tigo mamaae zao wapepunguza sana gb mpk nimekuwa mvivu kushusha seriez
 
Duuh hlf niliona watu wanacomplain hvy kwa nini wanakufa sana mastar,

KYLE XY ilikua nzuri sana ila waliikatisha kwa sababu rate ya watazamaji ilipungua sana.
Kuna series ilitoka wakahamia huko,

Niliumia walivyoikatisha SECRET CIRCLE,
Yan ndio ilikua inazidi kunoga daah!
dah ! ni kweri wakaenda mbele zaidi wakadai ghalama ya kuiandaa ilikuwa inaizidi hadi ghalama ya mauzo so wakaona haina faida kwao wakaikata
ila mpk leo KYLE XY naipenda sana
nakumbuka mwaka 2008 ndo naanza kuangalia seriez ile ndo ilikuwa fist seriez nikafuatiwa na lost then mpk leo ni mdau wa seriez za kimarekani niliipenda sana kyle xy
secret ciycre niliishia season one tu sikuendelea sana ila ni nzuri siku nikitulia nitaichek vizuri
 
Nlikuw nnaipenda sn kyle xy lkn baada ya kuja kugundua kwmb Matt Dallas n shoga na kafunga ndoa kabsa kw kuolew bas nikaitia kapun
yaaan kaolewa kabisa
Hahahahaha Matt ni shoga kitambo tu, ila anapenda kuact movies kama straight man.
aaaaaaaaghliiiiii

matt dalas ni shoga
sikuwa najua hilo kabisa
yaan nimenunajeeeee

araf kwann mastaa mashoga wanapenda kuact movie za kutumia akili sana like SCROFIERD

au chek matt dallas ktk KYLE XY yaan unaweza sema jamaa hta uhalisia wake yupo hivyo kumbe bonge la punga dah !
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

TEEN WOLF my favourite.

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
Bora hata king jofrey alikufa...alikua ananikera Sana yule dogo
 
yaaan kaolewa kabisa

aaaaaaaaghliiiiii

matt dalas ni shoga
sikuwa najua hilo kabisa
yaan nimenunajeeeee

araf kwann mastaa mashoga wanapenda kuact movie za kutumia akili sana like SCROFIERD

au chek matt dallas ktk KYLE XY yaan unaweza sema jamaa hta uhalisia wake yupo hivyo kumbe bonge la punga dah !

Ushoga wa Wazungu si kama wa kiafrica.
Mwanaume ajivalishe mavazi ya kike ajishebedue shebedue,

Wao kule jamaa anatinga suti safi, pozi za kiume mwisho wa siku wenzie wanamdandia,
Eg:Elton John.
 
Yani hujanifikia mimi,
Na amekufa kiuchungu kweli, hakuna wa kumuonea huruma zaidi ya mama ake.

Bora hata king jofrey alikufa...alikua ananikera Sana yule dogo

kuna mambo mengne jins wanavyojishebedua au roho mbaya wanavyoact unaweza ukamkuta msanii mtaan ameanguka ukamuacha tu afe ile chuki ulioijenga

km ktk MOVIE ZA KIHINDI kuna mzee kashadedi lakini anaitwa
AMRISH PURI a.k.a MZEE ASHANT
huyu babu wakati nipo jankii nilikuwa namchukia hadi nikajenga chuki kuwa siku nikikutana nae namtia bisu la tumboo
dah ! wasanii wana kazi kweri kweri kukubalika mtaan kuwa ule ni usanii tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom