Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
Mmmh mie hii ilinishinda, imepooza mnooo niliishia episod ya kwanza tu nikaiacha.Yupo shabiki wa 'HOMELAND' humu wakuu? wakina Kerry Madson, Nic Brodie na my favourite Peter Quin.
Mmmh mie hii ilinishinda, imepooza mnooo niliishia episod ya kwanza tu nikaiacha.Yupo shabiki wa 'HOMELAND' humu wakuu? wakina Kerry Madson, Nic Brodie na my favourite Peter Quin.
Inakuja changamka mbele ungeikazia tu...me mwenyew niliiacha then nikairudiaMmmh mie hii ilinishinda, imepooza mnooo niliishia episod ya kwanza tu nikaiacha.
Mmmmh! nilishaifuta sasaInakuja changamka mbele ungeikazia tu...me mwenyew niliiacha then nikairudia
Watu wapo wengi ni zaid ya 60 mkuuGroup Lina watu wangapi?
Yes inachangamka later na nzuri sana... Inteligence yake iko vizuri.... ingawa haipo fast kama 24 lakini ipo poa na some character wana maneno flani hivi amazing 🙂Inakuja changamka mbele ungeikazia tu...me mwenyew niliiacha then nikairudia
kumbe kutamu basi niunganishe nami mkuu 0717708637Watu wapo wengi ni zaid ya 60 mkuu
Mkuu no yako haionekan WhatsAppkumbe kutamu basi niunganishe nami mkuu 0717708637
Mkuu fanya basi nipe namba yako ili mm nikusms...Mkuu no yako haionekan WhatsApp
0658000443Mkuu fanya basi nipe namba yako ili mm nikusms...
Thanks....nshakutext mkuu0658000443
Hahaha asee nilikuwa nampenda yule mzee madevu alivyo na peter but my dogo alililia brody alivyonyongwa inauzunishaYes inachangamka later na nzuri sana... Inteligence yake iko vizuri.... ingawa haipo fast kama 24 lakini ipo poa na some character wana maneno flani hivi amazing 🙂
Duh na kuishusha tena ni ishuMmmmh! nilishaifuta sasa
Hahaha asee nilikuwa nampenda yule mzee madevu alivyo na peter but my dogo alililia brody alivyonyongwa inauzunisha
Hahaha asee nilikuwa nampenda yule mzee madevu alivyo na peter but my dogo alililia brody alivyonyongwa inauzunisha
Haina lolote mwaya. Me pia nilimaliza season nzima na ya Pili pia ila wapi. Ya kawaida sanaMmmmh! nilishaifuta sasa
Kwakweli imepoooza mpaka inaboa, ilinishinda kabisaaa.Haina lolote mwaya. Me pia nilimaliza season nzima na ya Pili pia ila wapi. Ya kawaida sana
Huyu anaangaongelea season 2, season 3 inaanza july this yearMuulize season ipiii asije kuwa anatazama season 2
Ni Kama hiii shades of blue ya jlo nimeiacha maana naona ya kawaida mno.....saivi ukiigiza mambo ya kipolisi na FBI au CIA inabidi ukaze Sana maaana watu vichwani tuna series zetu Kali za hayo mambo. Sa wao wanafanya lelemamaKwakweli imepoooza mpaka inaboa, ilinishinda kabisaaa.
Exactly, yaani 24 ilituharibu kweli now kila kitu cha kawaidaaa, ukijumlisha na huu ushoga wao ndio kabisaaa!Ni Kama hiii shades of blue ya jlo nimeiacha maana naona ya kawaida mno.....saivi ukiigiza mambo ya kipolisi na FBI au CIA inabidi ukaze Sana maaana watu vichwani tuna series zetu Kali za hayo mambo. Sa wao wanafanya lelemama