Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,792
- 1,748
Season 3 ipo hadi episode ya kumi.MKUU
kwani hiyo the reign imishatoka
Season 3 ipo hadi episode ya kumi.MKUU
kwani hiyo the reign imishatoka
Ni nzuri, inahusu nn?Season 3 ipo hadi episode ya kumi.
Ni Nzuri sana,,ina medieval life,,msuguano wa kiimani ukatoliki(France na wengine) na uprotestant(england na wengine) ni story Nzuri na Suala zima la siasa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi.Ni nzuri, inahusu nn?
Nitaitafuta mkuu niicheckNi Nzuri sana,,ina medieval life,,msuguano wa kiimani ukatoliki(France na wengine) na uprotestant(england na wengine) ni story Nzuri na Suala zima la siasa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi.
Its true hawajaweka exactly date!Ile huwa inaanza kwenye October hiviii
Nope mkuuVikings Wapenzi wa Vikings.
Feb 18 imekalibia Get ready.
Last ship wameendelea washatoa tena kama episode 4Hivi wakuu last ship inarudi lini? Nimeimiss kwakweli.
Ooooh! Nashukuru kwa taarifaLast ship wameendelea washatoa tena kama episode 4
Muulize season ipiii asije kuwa anatazama season 2Ooooh! Nashukuru kwa taarifa
Oooh 3 bado eh?Muulize season ipiii asije kuwa anatazama season 2
Hii ulinijibu mimi au?Ile huwa inaanza kwenye October hiviii
Yes. Kuhusu last shipHii ulinijibu mimi au?
Oooh! okey thanks, sikuiona as hukuniquote.Yes. Kuhusu last ship
Walter ni kwere yule mzeeSeason 5 episode 5 wanaiba methylamine kwenye train noma sana
Mm namba moja niliiandama mpka nikaimaliza ila brody aliniuzunisha sanaYupo shabiki wa 'HOMELAND' humu wakuu? wakina Kerry Madson, Nic Brodie na my favourite Peter Quin.