Mi nilikuwa nilifurahi sura ya huyo mzee no. 100 ilivyokuwa inatia huruma😅😅Hiki kipande kilinifurahisha na kuhuzunisha sana kwanza uyu jamaa apa baada ya kupita akataka amalize mchezo wote awafanye wasipite ili muda uishe game ikiisha wapige kura wasepe na mahela[emoji28][emoji28]
Nilihuzunika tu yule dada aliejiua basi
View attachment 3415868View attachment 3415869View attachment 3415870
Mzee alikuwa analia apo miguu imechoka😂 anaomba apite yeye wasaidiane kuwazuia watu wengineMi nilikuwa nilifurahi sura ya huyo mzee no. 100 ilivyokuwa inatia huruma😅😅
iv ukifika hapa ubonyeze wap ili uanze kudownlod series nianze na samahanView attachment 3415636
msimu wa 5 upo njiani
au hukumajukumu kaka
Naama hapo ushaweza mkuu
Huyu jamaa alikuwa miyeyusho sanaHiki kipande kilinifurahisha na kuhuzunisha sana kwanza uyu jamaa apa baada ya kupita akataka amalize mchezo wote awafanye wasipite ili muda uishe game ikiisha wapige kura wasepe na mahela[emoji28][emoji28]
Nilihuzunika tu yule dada aliejiua basi
View attachment 3415868View attachment 3415869View attachment 3415870
Ni FargoNimesikitika sana.kuna.series ulii recommend nikaishusha full package ktk kufutafuta vitu nikaifuta. Bahati mbaya sana siikunbuki japo ilikuja baada ya kuwa nimepost kwamba nimeikubli BARRY ndo ukaipendekeza.
Unawezq kuikumbuka?
No fargo nlikimbizana nayo ukanambia nikimaiza nicheki barry na baada ya hapo ndo ukataja nyingine😥😥😮Ni Fargo
Ngoja nipitie nyuzi za nyumaNo fargo nlikimbizana nayo ukanambia nikimaiza nicheki barry na baada ya hapo ndo ukataja nyingine😥😥😮
Au series ulizo recommend hivi karibuniNgoja nipitie nyuzi za nyuma
Hizi za Leo?Au series ulizo recommend hivi karibuni
Za hivi.karibuniHizi za Leo?
Hizi au Cc Mr Q
Ina ufanano na Barry?Ilikuwa series kaka
Ndio kwa.mujibu wa maekezo yakoIna ufanano na Barry?
Itakuwa labda ni hizi mbili on call au ni better call saulNdio kwa.mujibu wa maekezo yako
Wednesday s2 tumebakiza siku ngapiItakuwa labda ni hizi mbili on call au ni better call saul