Sometimes watu wanaweza kuwa proved wrong
Kwanza watu wengi walikuwa wanataka iishe maana ikiendelea hivi ladha itakuwa ileile kila season
Bora sahiz tutaona kitu cha tofauti. Unadhani USA haina ma director wazuri?
Mmh sasa mbona best series nyingi zinatoka USA?Hapo sasa neflix wacheze karata yao vyema kwenye production team.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa tvshows za marekani utakuwa shahidi nyingi wamezicancell zimeishia njiani na maswali mengi sababu ya rates kuwa chache na mbaya. Waandishi wa story USA ni wachache mno wanajua.
Mmh sasa mbona best series nyingi zinatoka USA?
Mbona kitambo mkuuAccountant 2 imetoka hata hamsemiπ₯³
Hata mimi nimeimaliza na wala sijalia wala kuhuzunika zaidi nimefurahi mtoto amepona na ameshinda game, pia nimefurahi player 456 kujiua maana angeishi tena kwa tabu na mateso hata pesa asingezifaidi, sijaelewa pesa zake ziliibwa na nani kwenye kile chumba au Frontman??mbona nimeimaliza macho makavu kama mkate wa juzi,
Ila SG imenifanya nifikirie kiwango cha TAMAA ya mwanadamu, katika kitu huyu kiumbe hawezi kamwe ni KURIDHIKA..!!π
Ila na yeye aliplay game kwa hiyo amekula kwa jasho lakeDogo kazaliwa sehemu sahihi π Kabisa anakuja pesa hizi hapa kapata zali la mentali
Ila anaye faidi ni yule mchizi ambaye hajafanya chochote kweye seriesIla na yeye aliplay game kwa hiyo amekula kwa jasho lake
Uvivu tu wa kwenda Cinemax π€£Mi nasubiri kuona pambano la anna der mas na john wick, maana kwenye trailer alisema wamemtuma john wick kumuua
"People keep asking if I'm back, and I haven't really had an answer. But now, yeah, I'm thinkin' I'm back!" ( kwa sauti ya John Wick ) ππ Vincenzo Jr
Ewaaa huyo sasa ndio amepata zali, anakua chawa wa boss totoπ€£Ila anaye faidi ni yule mchizi ambaye hajafanya chochote kweye series
Hapana. Jackal ni mtu makini, hauhitaji nguvu kummaliza Jackal. Unahitaji akili 10000%πVipi John Wick akitumwa kumuua the jackal unahisi atafanikisha ππ
Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa View attachment 3391787
Nakubaliana na Reuben ChalleVipi John Wick akitumwa kumuua the jackal unahisi atafanikisha ππ
Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa View attachment 3391787
π€£π€£π€£π€£Huyu mama aliwaingiza wafuasi wake chaka hafu akakimbia, ile scene niliirudia karibu mara nne.Alinichekesha alivyoingia kwenye kile chumba akatoka hana wasiwasi akabana mlango hafu ghafla akatimua mbio akawaachia wafuasi msala...dah! Miyeyusho sana.Tapeli huyu ππππView attachment 3389915
Umeniwahi nilitaka kupost sasahiviwame iachia Sasa hivi, tayari iko net Flix Selikavu, dosho12, Razorblade, Edo kissy
View attachment 3391997
Hahaha, mi nili iweka kwenye watch list, ghafla naona next showπ€£πUmeniwahi nilitaka kupost sasahivi
Netflix mbali shushen hapawame iachia Sasa hivi, tayari iko net Flix Selikavu, dosho12, Razorblade, Edo kissy
View attachment 3391997