Series (Special thread)

Series (Special thread)

The Six Triple Eight
Divorce in the Black
A Widow's Game
Duplicity
Really Love
The Front Room
The Photograph
Origin
A Journal for Jordan
ATL
Anyone but You
Road to Yesterday
Lionheart

Kama unapenda thriller na drama mapenzi mixer usaliti zitafuteni hizi
 
Unfaithful,
Original Sin,
Addicted,
Carol

Thank me later
 
Hizi ni series au movie ?
Hiyo a Journal to Jordan niliipenda sana love story yao kabla hawajaanza mambo ya kulia lia, yaani kuna time hua naitamani ile feeling ya kufall inlove na mtu (mpya) sijui mnaielewa ukiona simu yake unatengeneza koo vizuri unajilaza kwa bed unaongea kwa mapozi, unaweza ukaongea na simu usiku mzima na usione shida, ukikaa sehem unaisikia harufu ya manukato yake, hata ukiwa busy vipi lazima across on your mind then you smile alone, kuna wakati unapitia convos zenu zooooote mwanzo mwisho unacheka peke yako, lol mambo ni mengi ila hua siipendi ile part ya kuanza kuargue na kununiana, aargh!
 
Akiwa anakula kitu unamwambia "napenda unavyotafuna" ila mkishanza kuargue " emu tafuna vizuri bwana una matatizo gani, huna meno au" 😄😄😄
 
Hiyo a Journal to Jordan niliipenda sana love story yao kabla hawajaanza mambo ya kulia lia, yaani kuna time hua naitamani ile feeling ya kufall inlove na mtu (mpya) sijui mnaielewa ukiona simu yake unatengeneza koo vizuri unajilaza kwa bed unaongea kwa mapozi, unaweza ukaongea na simu usiku mzima na usione shida, ukikaa sehem unaisikia harufu ya manukato yake, hata ukiwa busy vipi lazima across on your mind then you smile alone, kuna wakati unapitia convos zenu zooooote mwanzo mwisho unacheka peke yako, lol mambo ni mengi ila hua siipendi ile part ya kuanza kuargue na kununiana, aargh!
ukiona upo kwenye Pendo linaserereka tu halina kashkash wala speed humps then brace for the impact..!!🙌

Siku yako ya tukio ni moja tu, then kuna hilo Pendo lina vurugu kama ukanda wa Gaza, mkigombana ni kama hamtawahi zungumza tena, ila mkitoka hapo Pendo linarudi kuwa jipya, ni mara chache sana kuvunjika kirahisi..!!
 
The Six Triple Eight
Divorce in the Black
A Widow's Game
Duplicity
Really Love
The Front Room
The Photograph
Origin
A Journal for Jordan
ATL
Anyone but You
Road to Yesterday
Lionheart

Kama unapenda thriller na drama mapenzi mixer usaliti zitafuteni hizi
the six triple eight nililia pale yule dada yupo kaburini kwa mchumba wake, Mr. akaanza kunicheka maana anajua kulia kwenye movie ndiyo shughuli zangu..

Hapo nimeona tu 3, the 6 triple 8, duplicity na divorce in the black..! thank you Cassano, nitazitafuta nikaendelee zangu kulia..!!🥹
 
😃😀😀Pole mwanangu 😎 pale Hadi Mimi nilikuwa sad sana aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom