dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,718
- 9,909
Nimecheki Hurry up Tomorrow, Jenna Ortega kafanya performance nzuri mno, na miziki ya the weeknd kumbe karibu yote ipo depressedMwana fundi sana huyu
Nimecheki Hurry up Tomorrow, Jenna Ortega kafanya performance nzuri mno, na miziki ya the weeknd kumbe karibu yote ipo depressedMwana fundi sana huyu
Mwana anajua sana yule namuona akibeba Grammy awards msimu ujao na Oscar anaweza kupita nayoNimecheki Hurry up Tomorrow, Jenna Ortega kafanya performance nzuri mno, na miziki ya the weeknd kumbe karibu yote ipo depressed
Nilishakicheki Toka cinema 🎥 hiki chumaNimecheki Hurry up Tomorrow, Jenna Ortega kafanya performance nzuri mno, na miziki ya the weeknd kumbe karibu yote ipo depressed
Ving Rhames alimpiga kabali hiyo Tyres aloo😀![]()
Ndani ya hiki chuma mtu alishikwa hadi akaishiwa pumzi 😎
ya taraj hensonChuma kingine kwa wapenda mziki mzuri![]()
Nasubiri mrejesho ukimaliza kuiangalia😂😂😂😂😂
Ila siku hizi mbona najitahidi kujikaza jamani Malaika..??
Series za 2005 mpaka 2018 zilikuwa nzuri mnoKumbe The Walking Dead ni tamu hivi! Sijui nilikua wapi mimi!
Hii mizigo ya zamani ina taste fulani huwezi kupata kwenye series nyingi za kisasa.
Kabisa mkuu, unapata taste flani inayokufanya utake kuangalia episode inayofuata.Series za 2005 mpaka 2018 zilikuwa nzuri mno
Dah ila hapo ni parefu 😄😄Nina uhakika hizi season 11 nitazikata chapu sana.
Bonge la series bablaiKumbe The Walking Dead ni tamu hivi! Sijui nilikua wapi mimi!
Hii mizigo ya zamani ina taste fulani huwezi kupata kwenye series nyingi za kisasa.
😂 hata kujenga ni kazi kama hajaanzaDah ila hapo ni parefu 😄😄
Ndioya taraj henson
Ulichelewa mno yaani hiki chuma nilianza kukitazama kipindi kile tunapewa EP Moja Moja Kila jumapiliKumbe The Walking Dead ni tamu hivi! Sijui nilikua wapi mimi!
Hii mizigo ya zamani ina taste fulani huwezi kupata kwenye series nyingi za kisasa.
naomba link ya the walking dead kwanzia season 4 mpaka 11
Habari, msaada naomba link ya kudownload series ya pablo escober the drug load
Tumia uTorrent mwanetuNaombeni link ya ku download hii
View attachment 3364638