Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,133
- 82,932
Ndio nafika kigamboni hapa aisee kumetulia naona kama wale wahuni wa kwenye from wananiita hapa magetoni nasikia sauti za ajabu walahi 😀 😀 namuona smile hapa 😂 😀 njiani nimepita na kipikipiki changu nikaona mti upo chini aisee