Aron Bayezeko Joseph
Member
- Sep 23, 2017
- 28
- 23
Game of Thrones
Last of Us
Last of Us
Ngoja nicheki trela ya the sinnerPeaky Blinders
The Sinner
The Gentlemen
Slow horses
Sinner kama ni ile single nimeiona, hizo zingine itabidi nidownloadPeaky Blinders
The Sinner
The Gentlemen
Slow horses


Pablo escobar umejichanganya ulijua unaangalia Narcos 😅😅Nimejichanganya apa nimeidownload From ndo naianza muda huu naona kabisa nimejichanganya genre yake nilipaswa nianze nayo mchana![]()
![]()
😂😂😂😂Sinner kama ni ile single nimeiona, hizo zingine itabidi nidownload
Nimejichanganya apa nimeidownload From ndo naianza muda huu naona kabisa nimejichanganya genre yake nilipaswa nianze nayo mchana![]()
Conrad na ubabe wake wote hapa anapiga magotiUyu Bibi Maeve anatukana,roho mbaya pia kama kamtawala sana Conrad namfananisha na Huleim Sultana wa kwenye Sultan na Cersei Lannister wa GoTView attachment 3362568
HD imeshatoka
Hizi mambo za majamaa kutoa smile la kutisha zinakera sana mida ya usiku😂😂Pablo escobar umejichanganya ulijua unaangalia Narcos 😅😅
Hahahaha unaota ukiitwa ufungue dirisha kwa smile tamu😂😂🤣🤣 hawa ghost hawa!!!!🙌🏾😂😂😂😂
kama Mimi niliyekuwa hadi naiota usiku niliweza kuimaliza, utaimaliza pia bila shaka Pablo..!!
😂😂😂😂Hahahaha unaota ukiitwa ufungue dirisha kwa smile tamu😂😂🤣🤣 hawa ghost hawa!!!!🙌🏾
Mwambie Carleen kabisa awe na mtu wa kumpokeza machoziDah Vincenzo Jr we na Dr. Mariposa mlikuwa sahihi hii movie ya straw ni kali balii ipo very emotional Carleen kaitafute uangalie ni nzuri mno
Kabisa aandae kabisa kama ni tissue au kitambaa mapema
Halafu nimetoka itazama trailer yake Leo, nikamuona yumo Taraji na Teyana..!!Dah Vincenzo Jr we na Dr. Mariposa mlikuwa sahihi hii movie ya straw ni kali balii ipo very emotional Carleen kaitafute uangalie ni nzuri mno
😂😂😂😂😂
Ndio mkuuHD imeshatoka
Na Kuna chuma kingine hiki hapa kitafuteni wanangu 😎😎Dah Vincenzo Jr we na Dr. Mariposa mlikuwa sahihi hii movie ya straw ni kali balii ipo very emotional Carleen kaitafute uangalie ni nzuri mno
Hapo utakoma hiyo the sinner ni series sio ile singo mkuuSinner kama ni ile single nimeiona, hizo zingine itabidi nidownload
Nimejichanganya apa nimeidownload From ndo naianza muda huu naona kabisa nimejichanganya genre yake nilipaswa nianze nayo mchana![]()