Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Ngoja niitafute niipakueKwakweli kwangu mimi muvi za mazombi au vampires sizipendi. Muvi nnayo ikubali ni moja tu inaiwa
train to busan
sijawahi ona muvi ya mazombi nzuri kama ile. Niliekua naangalia nae nilistukia tu anafuta machozi. Nikagonga mhuri kabisa kwamba sidhani kama kuna muvi nyingine nzuri kama hii
Nami nimtoe machozi mtoto wa mtu 😁