Series (Special thread)

Series (Special thread)

PSX_20250603_200256.jpg

Kwa upande wangu hizi series sijui kwa nini zilikatishwa wakati zilikuwa nzuri tu Vincenzo Jr Dr. Mariposa Carleen Mr Q
 
Sema Peter alizingua sana yule demu kamtreat vibaya pale mwishoni japokua ki usalama kweli ilikua hatari kwa Rose but Peter namna flani hivi niliona alimnyanyasa kihisia na Rose alionekana kabisa kua anamuhitaji Peter kwa wakati huo kifupi Rose alkua anampenda mwamba..
Naona Peter alikua sahihi kumruhusu Rose kwenda sababu Rose alikua anataka normal life ni kama alikua anawish Peter aache kazi yake wakaanzishe familia kama raia wa kawaida kitu ambacho sio rahisi, pili matukio yaliyowatokea kuanzia season 1 kwa Rose yalimuathiri kisaikolojia kamtafuta tena Peter kakutana na visanga vizito, iliniuma hata mimi namna walivyoachana lakini ilikua haina namna ni watu walioishi katika dunia mbili tofauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom