Series (Special thread)

Series (Special thread)

Weka link ya 7 na 8. Vyanzo vyangu bado vimekwama kwenye 6

Hiyo hapo kaka
 
Imagine ndiyo niko napambana nayo sahii, me naye niko nyuma nyuma kama mpasuo wa koti..!!
Haikutishi? wale jamaa wanaopiga harakati zao usiku wa manane ukiwafungulia mlango umeisha 😃😃
Kwenye fringe season 4 walioneshaga jinsi watu wanavyo potea na kurudi eneo lile lile sio powa mwanangu
 
bado nipo mwanzo mwanzo sijaanza kuruka ruka kama popcorn...
Huwa nafumba macho nikiona maji yanazidi unga.. 🙌
 
😃😃😃😃Wale jamaa walinifanya niache kwenda kazini saa 10 za usiku maana huku kigamboni Kila kona misitu 😃😃 unaweza ukakuta mti njiani baadae ukaingia kile Kijiji ukamuona Boyd anapiga kengele aisee
 
Au upo zako kwenye gari unaona njiani gogo la mti barabarani 😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom