Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,852
- 36,150
Hapo akina Carleen wataifurahia. Ila mimi nipo na haya mazagaView attachment 3336264
Hivi hiyo tracker ni kali eeh? Huu mwaka nimeotea Fargo tu mpka sasa!
Hapo akina Carleen wataifurahia. Ila mimi nipo na haya mazagaView attachment 3336264
Fargo ni nzuri? Ina mishen zinazo husu nini?Hivi hiyo tracker ni kali eeh? Huu mwaka nimeotea Fargo tu mpka sasa!
Fargo ni nzuri? Ina mishen zinazo husu nini?
Tracker season 1 ilikuwa poa. Hii bado sijaanza kuiangalia kwa sababu leo ndio nimeishusha
Ngoja niitafuteFargo kali sana, kila season ina story yake..kifupi ni vita ya magenge ya uhalifu ila kuna muda raia wa kawaida nao wanayakanyaga, ni mwendo wa visasi na kuviziana!
Mie niliishia EP ya 10 😃😃Kudadeki TRACKER SEASON 2 IN EPISODES zote hizi?
View attachment 3336053
Ni balaa sana hii seriesJamaa Hii MOBLAND mbona ya moto hivi
Naona mjomba Richie hacheki na yeyote ukinipiga shavu la kushoto Mimi nazaba la kulia, 😁
Noma tena sana mkuuNi balaa sana hii series
According to drug dealers pale toddy alifanya maamuzi sahihi 😂Sana mkuu yaani kuna muda jesse ubinadamu unamjaa sana
Sema ipo fresh sana kakaKama mpaka wewe ulichemka ndo basi tena![]()
Nasubiri ep7Jamaa Hii MOBLAND mbona ya moto hivi
Naona mjomba Richie hacheki na yeyote ukinipiga shavu la kushoto Mimi nazaba la kulia, 😁
Yah. Ep 7 ilitoka tangu jpili, now tunasubiri ep 8 wikiendi hiiImeshatoka mkuu
Nimeona movieBox
Ya Moto sana mkuuYah. Ep 7 ilitoka tangu jpili, now tunasubiri ep 8 wikiendi hii
😂😂😂😂Hapo akina Carleen wataifurahia. Ila mimi nipo na haya mazagaView attachment 3336264
HahahahaKama mpaka wewe ulichemka ndo basi tena![]()
Nimefurahi mno, at least she has to get the taste of her own medicine..!!Ya Moto sana mkuu
Maeve kamuua mwanae Brendan kizembe sana kisa kumchukia Seraphina
Dili limekuwa dilisha😃
Vincenzo Jr ndo Movimometer wetu 😁😁😁 drug dealer/kingpin wa movie kama ingekuwa ni illegal kusambaza movie vin angekuwa yupo jelaHahahaha
SI unit wa movie humu ndani kumbe ni Vincenzo Jr..??
Hakika mkuuNimefurahi mno, at least she has to get the taste of her own medicine..!!