Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,233
- 79,760
Wanazingua sana hao afu kwenye game lake hakuna machoko kwenye series ndio wameweka miyeyusho yaoWadau wa mitandaoni Wana diss sana vitendo vya ki chokooo vinavyoendelea kwenye series Last of Us wengine wanasema vilikuwa havina ulazima kuwepo
Ukizingatia kale katoto wanakaweka kwenye scene za usagaji watu wamemaindi kinoma Kuna kipande wanapigana finger kabisa ilikuwa Haina ulazima kutuonesha
Wadau wanamaindi itapoteza mvuto
Hivi vyuma vikali sana hii ya mwisho ndio nimeanza nayo jana usikuWAPENZI WA BURUDANI. KAMA HUNA MOVIE YA KUANGALIA WKEND HII BASI CHEKI HII HAPA
View attachment 3330327
Ukiniuliza leo unampango wa kuangalia zipi nitakuambia
1. Diamond Heist
View attachment 3330331
2. Braqueurs
View attachment 3330333
3. House of David
4. DNA DO CRIME
Iko poa niishushe?Hivi vyuma vikali sana hii ya mwisho ndio nimeanza nayo jana usiku
Ndio kakaIko poa niishushe?
Fanya wepesi wa link yenye dual audio au yenye lugha ya kizunguHivi vyuma vikali sana hii ya mwisho ndio nimeanza nayo jana usiku
Dual audio ipo?Ndio kaka
Last breath ni movie nzuri, story nzuri Ila mwishoni sikupenda.
Naona labda ipo Netflix ila kule awafi.com haikosekani hiiDual audio ipo?
Pale walizinguaLast breath ni movie nzuri, story nzuri Ila mwishoni sikupenda.
Haina mwisho mzuriNi true story, na ni nzuri ila msiiwekee matarajio makubwa mtakuwa disappointed, idk kuna namna sikuridhika sijui kwanini..!!
😂😂😂😂😂Kuna mtu alisema yeye kila akiweka komwe lake kwenye mto kitndani.. Basi anajiona kama the jackal ameshika bunduki anataka kum snipe mtu
Huyu tangu atoe movie yake ya ovyo ya the walking man ahhhhhInatoka mwaka huuu...!!
View attachment 3330317
Hivi DNA DO CRIME ndio sawa na CRIMINAL CODE?Hivi vyuma vikali sana hii ya mwisho ndio nimeanza nayo jana usiku
Aisee ndio maana wadau Wana diss sana hii nitaacha kuifuatilia soonWanazingua sana hao afu kwenye game lake hakuna machoko kwenye series ndio wameweka miyeyusho yao
Hiyo namba 4 mbona kama inashawishi kuitazama😁WAPENZI WA BURUDANI. KAMA HUNA MOVIE YA KUANGALIA WKEND HII BASI CHEKI HII HAPA
View attachment 3330327
Ukiniuliza leo unampango wa kuangalia zipi nitakuambia
1. Diamond Heist
View attachment 3330331
2. Braqueurs
View attachment 3330333
3. House of David
4. DNA DO CRIME
Mrejesho tafadhali 😁Hivi vyuma vikali sana hii ya mwisho ndio nimeanza nayo jana usiku
Mpe nafasi nyingine mkuuHuyu tangu atoe movie yake ya ovyo ya the walking man ahhhhh
Nimemvua nyota
😃😀😀Aisee ndio maana wadau Wana diss sana hii nitaacha kuifuatilia soon
Ni Kali sana hiyoMrejesho tafadhali 😁