Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakonge mnamkumbuka huyu?
images (6).jpeg

Kipindi hicho anaigiza Home Alone alikuwa na miaka 36, hiyo ni mwaka 1990.
Sasa hivi yupo kwenye The Last of Us akiwa na miaka 71.
 
Sasa hivi ni kuamua tu upite na series/movies zote zinazotoka au uchague mizigo mikali tu ya kupita nayo, uamuzi ni wako maana muda nao ni mchache..

Currently, natembea na hizi kazi mdogo mdogo:

1. Mobland
2. The Last of Us
3. Daredevil-Born Again

Mobland dah! Naipa 9.5/10 🔥🔥🔥🙌

Nipo tayari kusubiri episode moja moja kila jumapili, maana ishanipa uteja!
 
Mobland mzee unyama sana, mi naisubiri nine bodies nimuone mzee kelvin humo msituni this tyme ameanguka pekeake, daredevil ninayo ila sijaanza hata ep moja
 
Sasa hivi ni kuamua tu upite na series/movies zote zinazotoka au uchague mizigo mikali tu ya kupita nayo, uamuzi ni wako maana muda nao ni mchache..

Currently, natembea na hizi kazi mdogo mdogo:

1. Mobland
2. The Last of Us
3. Daredevil-Born Again

Mobland dah! Naipa 9.5/10 🔥🔥🔥🙌

Nipo tayari kusubiri episode moja moja kila jumapili, maana ishanipa uteja!
Mobland kazi ya maana sana 😎😎🔥🔥
 
Yaani nimejikanyaga, katika pita pita zangu nikaona series ya Ragnarok sasa kwa kua nilimkubali sana Ragnar kwenye VIKING si nikajua mambo yatakua yale yaleee, nilichokutana nachoooooo🙌🏻
Viking moja ya series ambayo sidhani kama nitakuja kuangalia hata trailer yake. Series za hivyo sio ladha yangu kabisa
 
First details on ‘SHOGUN’ Season 2:

• Hiroyuki Sanada and Cosmo Jarvis will reprise their roles

• Set 10 years after the events of Season 1

• Filming begins in January
 
Attachments

  • 20250501_114511.jpg
    20250501_114511.jpg
    424.6 KB · Views: 17
Yaani nimejikanyaga, katika pita pita zangu nikaona series ya Ragnarok sasa kwa kua nilimkubali sana Ragnar kwenye VIKING si nikajua mambo yatakua yale yaleee, nilichokutana nachoooooo🙌🏻
Inamaana hata plot yake hukusoma kama uliipenda VIKING nenda kaangalia VIKING:VALHALA story yake ni miaka 100 baada ya ragnar kufa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom