Wakati naangalia nilikuwa najipa moyo ellie atawahi au ataamua kumsamehe joel hawezi kufa yeye ndio muhusika mkuu mara kachomwa na nondo sikuamini nikasema watampeleka hospitali, ila nilivyo ona kafungwa vile ndo nikaaminiJamani nimeliaaaaaa yaani Joel ndio kafa tena kikatili vile daaah!
Scene ya mwisho wakati wanauburuta mwili kwenye farasi imenifikirisha sana kua Binaadam si chochote, Joel alienda pale akiwa na miguu yake na pumzi zake dakika chache baada anarudishwa akiwa amefungwa kwenye kiroba na kuburutwa,
hii scene iko so emotional sana 😭😭😭😭
Za kimarekani tu mkuu au za lugha yoyote ili mradi ni nzuriWakuuu naombeni recommendations ya series zilizoandikwa vizuri. Kwasasa niko na hii series ya LIONESS nimeipenda uandishi na actions zake.
Lakini pia hata series ya THE LAST OF US ipo vyema kiuandishi
Series gani hiii,name pleaseHapa our beautician kaamua kumtia adhabu mwamba
"No what???" Afu anamtishia tena😁😁
View attachment 3308851
Zisiwe za kikorea tu maana wanaigizaga kiutoto sanaZa kimarekani tu mkuu au za lugha yoyote ili mradi ni nzuri
Kuna 1. Behind her eyes 2. House of David 3. The wheel of time 4. Silo 5. Dune prophecy 6. The Capture 7. Who is Erin carter 8. Brave 9. Twilight Zone 10. Arcane ( animation ) 11. No escapeZisiwe za kikorea tu maana wanaigizaga kiutoto sana
Huku Kuna chuma kinaitwa halo umeshaitazama pamoja na dark matter hizo umezichekiNishaicheki. Saivi naona nihame genre kidogo niingie SciFi
SiloKuna 1. Behind her eyes 2. House of David 3. The wheel of time 4. Silo 5. Dune prophecy 6. The Capture 7. Who is Erin carter 8. Brave 9. Twilight Zone 10. Arcane ( animation ) 11. No escape
Nahisi nyingi ushaziona hapo
Unataka kuwa mwandishi mkuuSilo
Arcane
Wheel of time
Brave
Nishaziona...
Mm napenda series hata isiwe na actions ila writing iwe imetulia unasikiliza conversation hadi unaona raha. Niliimjoi sana series ya Reacher imeandikwa vizuri sana
Kama sio mgeni jf basi utakua unajua kua I'm something of a writter myselfUnataka kuwa mwandishi mkuu
Dark matter ile ya yule jamaa alimpeleka mwenzake kwenye reality nyingine alafu akachukua nafasi yake, ile series ni kali balaaHuku Kuna chuma kinaitwa halo umeshaitazama pamoja na dark matter hizo umezicheki
Kuna jamaa mmoja anachannel youtube anaitwa Tyler mowery sijui unampata huwa anazungumzia kuhusu story development jamaa anajua me huwa nacheki video zakeKama sio mgeni jf basi utakua unajua kua I'm something of a writter myself
Kwangu Ni ya kawaidaNimeanza series ya Nine bodies
Vip inafaaa au miyeyusho tuu
ThanksKwangu Ni ya kawaida
Ukitoa ile hamu ya kujua nani analiye waua wale watu, hakuna kingine cha ziada ending yake kwangu haikuwa nzuri.
Hivyo kama unaangalia usitake kujua mwisho pakoje utakuwa ushamaliza series hivyo angalia kwa ile shauku ya kujua nini kulitokea
Mzee vipi, Marvel wapo kimya Sana, Brave World imekuwa average sanaSilo
Arcane
Wheel of time
Brave
Nishaziona...
Mm napenda series hata isiwe na actions ila writing iwe imetulia unasikiliza conversation hadi unaona raha. Niliimjoi sana series ya Reacher imeandikwa vizuri sana
Hii niliangalia episode 1 tu nikaona muendelezo unaweza usiwe mzuri kama nilivyotarajia nikafuta.Kwangu Ni ya kawaida
Ukitoa ile hamu ya kujua nani analiye waua wale watu, hakuna kingine cha ziada ending yake kwangu haikuwa nzuri.
Hivyo kama unaangalia usitake kujua mwisho pakoje utakuwa ushamaliza series hivyo angalia kwa ile shauku ya kujua nini kulitokea
Dah! Hii ni zaidi ya kuspoilJamani nimeliaaaaaa yaani Joel ndio kafa tena kikatili vile daaah!