sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hiyo series niliipenda saana, Ila walipo ingiza upinde nikaiweka pembeni,Wameendeleza upinde Nini?
Hiyo series niliipenda saana, Ila walipo ingiza upinde nikaiweka pembeni,Wameendeleza upinde Nini?
Nipo EP ya 4 kaka sio powa 😎 series kalii sanaVincenzo Jr umelicheki mobland🙌🏾
game lina part ngapiPole kaka kumbe uko mbali sana nilizani upo dar es salaam ila pale yule jamaa mie huwa ananiuziaga buku 2 tu
Kaka peleka mbele tu sema wanazingua sana ila kwenye game lao hamna upinde kule huku kwenye series HBO wanaharibu mnoHiyo series niliipenda saana, Ila walipo ingiza upinde nikaiweka pembeni,
2game lina part ngapi
Hahaha mzeee wewe hamna MTU waku risk maisha Kwa sababu yako😂😂😂Nimejifunza kwenye hiyo muvi kwamba.
Hapa bongo watu wakiitana familia ujue basi ni kukutana mezani kula, kwenyr vikundi vya akina mama, kukopeshana ada za watoto na mambo mengine madogomadogo. Ila likikukuta jambo ambalo litahotaji mtoke mwende kulimaliza kimyakimya... Hiyo inayojiita familia inakutenga.
Ila kwa wenzetu ukiangalia hio muvi, na series kama gangs of london, the GentleMen wanaonesha ni jinsi gani jambo likimpata mwenzao basi ujue ni la kwao wote.
Nikijifanyia tathmini sioni kama ninarafiki anae weza shika silaha kwa ajili yangu akaja pori kunisaka au kuniokoa na jambo fulani.
Wabongo buaaaanaaa 😁😁😁😁
😂😂😂😂Itakuwa sh ngapo hapo nikujumlisha na nauli ya Mwanza- Dar
😀😀😀😂😂😂😂
Nimependa hiyo akili eti inakuwa shingapi ukijumlisha na nauli..!!
Yaan Bora upinde uwepo wakisela kidogo, sio Ile liveee,Kaka peleka mbele tu sema wanazingua sana ila kwenye game lao hamna upinde kule huku kwenye series HBO wanaharibu mno
Natafuta crime series kama hizi asee. Watu wahuni kweli kweli family businessNipo EP ya 4 kaka sio powa 😎 series kalii sana
Yule mlinzi miyeyusho sanaYaan Bora upinde uwepo wakisela kidogo, sio Ile liveee,
Upinde uwe wawastani Kama lile li mlinzi la ukumbi WA kwenye the day of jackal
Itafute na mayor of Kingstown hiyo ni nzuri sana mkuuNatafuta crime series kama hizi asee. Watu wahuni kweli kweli family business
Nishacheki
1. Narcos all versions
2. ZeroZeroZero
3. Gangs of london
4. Godfather of harlem
5. BMF,Snowfall
I need something addicting 😂
Hivi Yale mambo yanareflect maisha halisi au?? Maanaa dah mapunga wapo wengi saanaYule mlinzi miyeyusho sana
Siku hizi ajenda zao wanaweka hadi kwenye katuni za watoto wale jamaa miyeyusho sanaHivi Yale mambo yanareflect maisha halisi au?? Maanaa dah mapunga wapo wengi saana
Unanipa mzuka wa kuanza kulisaka game lakeEllie wa series anadharau watu wa wazima ila Ellie wa kwenye game ana heshima sana
Litafute kakaUnanipa mzuka wa kuanza kulisaka game lake
Nishaicheki. Saivi naona nihame genre kidogo niingie SciFiItafute na mayor of Kingstown hiyo ni nzuri sana mkuu