Series (Special thread)

Series (Special thread)

anae husika na themes za wrestlemania inaonekana ana mkubali sana the weeknd sababu hii na wrestlemania ya tano mfululizo ana tumia ngoma zake, mwaka jana wrestlemania 40 walitumia Gasoline, mwaka juzi ya 39 less than zero, 38 walitumia sacrifice, 37 wakatumia save your tears, 36 wakatumia blunding lights
Huyo mtoto kutoka Ethiopia anajua sana kaka
 
Itafute imeshutiwa na IMAX Cc dosho12 Mr Q
20250421_111019.jpg
 
Story imekuwa ndefu, yaan watekaji Wamekuwa wengi yaan sikuielewa kabisa. Jonathan strotman Hana tatizo kwenye acting Ila story mbovu
Watekaji sio wengi. Inabidi mtulize akili na muvi za akili kubwa.

Kifupi.. Yule dogo anatekwa na kikundi cha watu ambao kazi yao ni kuteka na kuwauza kwa wateja wao ili WAWAKULE. na kwanini alichagulisa huyo dogo?

Ipo hivi. Yani pakiwepo party, wale watekaji wanachukua video live za madem wanao party halafu wateja wanachagua wanayemtaka. Sasa ikatokea huyo dem kachaguliwa. Tatizo linaaza pale ambapo dem mwenyewe ni rafiki wa Jason.....

Kwanini umeona watekaji ni wengi?

Swala lilippwashinda watekaji ikabidi wawashirikishe wenzao (KAMA UNAJUA MAANA YA FAMILIA BASI UTAELEWA. Na sio maana ya familia kwa maana ya baba mama watoto. Yani familia ikimaanisha ukikutwa na jambo unashirikisha watu wako wa karibu)

Pamoja na kushirikishana lakini wote walisagwa kama kunguni.
 
Story imekuwa ndefu, yaan watekaji Wamekuwa wengi yaan sikuielewa kabisa. Jonathan strotman Hana tatizo kwenye acting Ila story mbovu
Nimejifunza kwenye hiyo muvi kwamba.

Hapa bongo watu wakiitana familia ujue basi ni kukutana mezani kula, kwenyr vikundi vya akina mama, kukopeshana ada za watoto na mambo mengine madogomadogo. Ila likikukuta jambo ambalo litahotaji mtoke mwende kulimaliza kimyakimya... Hiyo inayojiita familia inakutenga.

Ila kwa wenzetu ukiangalia hio muvi, na series kama gangs of london, the GentleMen wanaonesha ni jinsi gani jambo likimpata mwenzao basi ujue ni la kwao wote.

Nikijifanyia tathmini sioni kama ninarafiki anae weza shika silaha kwa ajili yangu akaja pori kunisaka au kuniokoa na jambo fulani.

Wabongo buaaaanaaa 😁😁😁😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom