Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,733
Wasije wakaleta mashoga tu kuleSana, Netflix wapo kibiashara zaidi
Wasije wakaleta mashoga tu kuleSana, Netflix wapo kibiashara zaidi
Mwamba huyu hapa.
Hajawahi kuharibuMwamba huyu hapa.
Fundi sana huyu niliwahi kumuona pale kwa zulu natal kipindi hicho wapo kwenye session ya kushuti Mission: Impossible movie, Dead Reckoning Part Two sema bodigadi wake walinibania nisipige nae pichaMwamba huyu hapa.
Duh wameshutia na South kumbe, hivi movie ikishutiwa na Imax inakuwa screen yake tofauti na nyingineFundi sana huyu niliwahi kumuona pale kwa zulu natal kipindi hicho wapo kwenye session ya kushuti Mission: Impossible movie, Dead Reckoning Part Two sema bodigadi wake walinibania nisipige nae picha
Upo kama Mimi 😎😎 hiyo fringe vipi uliimaliza hapo nakuongezea na silo habity 😎😎
Ndio ni sci-fiNiliimaliza na nili enjoy sana. Hiyo Silo habity ni dizaini ya fringe?
Ongezea na hizi habity 😎Niliimaliza na nili enjoy sana. Hiyo Silo habity ni dizaini ya fringe?
Hivi The peripheral ilipewa green light ya season 2 au ishakatishwaOngezea na hizi habity 😎
Manifest
Travelers
The Peripheral
Hizo zipo kama fringe
Huyu mzee stunt anazipiga mwenyewe, tena stunt za hatari kwelikweli
Man, hukukutana na mrembo aitwaye khumbuFundi sana huyu niliwahi kumuona pale kwa zulu natal kipindi hicho wapo kwenye session ya kushuti Mission: Impossible movie, Dead Reckoning Part Two sema bodigadi wake walinibania nisipige nae picha
Working man sijaielewa kabisaaaJana nimepakua A Working man,House of David na 9 bodies in mexican morgue FULL HD ZOTEE
Najiuliza nianze na ipiiii ila yote kwa yite Series ya MOBLAND ni balaaaa 💥
Itakuwa ilisitishwaHivi The peripheral ilipewa green light ya season 2 au ishakatishwa
Huyu jamaa anabalaa sanaHuyu mzee stunt anazipiga mwenyewe, tena stunt za hatari kwelikweli
Ndio kakaDuh wameshutia na South kumbe, hivi movie ikishutiwa na Imax inakuwa screen yake tofauti na nyingine
Hapana kaka 😂 😃 huyo simjui nilikutana tu na wabongo wenzangu walinipokea kwanza nilikuwa sitoki nje kule Kila mtaa Kuna fiber kama zote yaani najifungia ndani na download movie na series kule ukitoka uwe na mwenyeji ukiwa mwenyewe ni hatari sanaMan, hukukutana na mrembo aitwaye khumbu
anayepatikana kwenye hii mada?
Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho
Ongezea na hizi habity 😎
Manifest
Travelers
The Peripheral
Hizo zipo kama fringe