Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,968
- 46,626
Hivi hii ni zile horror au ni ya kawaida?
Hivi hii ni zile horror au ni ya kawaida?
Ya kawaida hii ila mpaka mwezi may inaenda cinemaHivi hii ni zile horror au ni ya kawaida?
Nilisikiliza baadhi ya nyimbo kwenye album yake nimeipenda Run away na nyimbo iliyobeba jina la album
Nilimisi zile harakati za gereza la sona sio powa hata panya akipita kwenye sinyenge anakula shabaMhhh! Siku hizi movies/series zimekua nyingi mno hadi unakosa muda wa kutazama mambo yanakupita.
Halafu ukija kugusa tu unakutana na blunder iyo hatarii wakati huo mitandaoni unakuta washaihype sanaa!
Unaweza kuangalia movie kwa siku 5 bila kuimaliza.
Tunabaki kumiss old moments unaona bora urudie tu vyuma vya zamani. Ule utunzi wa zamani sijui umeishia wapi aisee!
Season 3 ongoing 🍟
View attachment 3307714
Dah Jessica alba hazeeki hivi sasa hv atakuwa anakaribia 50 au kaishafika tayarItafuteni Cc dosho12 Carleen if cap fits Mr Q
View attachment 3307678
Ya kawaida hii ila mpaka mwezi may inaenda cinema
Fundi sana huyu na Kuna enjoy the show mule pia Kuna mkwaju wa take me back to la na timeless ni miongoni mwa wasanii ninao wachangia sana hela kule SpotifyNilisikiliza baadhi ya nyimbo kwenye album yake nimeipenda Run away na nyimbo iliyobeba jina la album
Timeless si ndio aliyomshirikisha play boi carti, kuna tetesi nilisikia eti inaweza kuwa miongoni mwa theme song za Wrestlemania 41 pamoja na Fe!nFundi sana huyu na Kuna enjoy the show mule pia Kuna mkwaju wa take me back to la na timeless ni miongoni mwa wasanii ninao wachangia sana hela kule Spotify View attachment 3307750
Sona kumechangamka sana na nyapala wa mule hachekeshi.Nilimisi zile harakati za gereza la sona sio powa hata panya akipita kwenye sinyenge anakula shaba
Yeah ndio theme song mkuu bonge Moja la Ngoma lileTimeless si ndio aliyomshirikisha play boi carti, kuna tetesi nilisikia eti inaweza kuwa miongoni mwa theme song za Wrestlemania 41 pamoja na Fe!n
Lile gereza sio powa mkuuSona kumechangamka sana na nyapala wa mule hachekeshi.
Ndo gereza ambalo Scofield aliingia akiwa hajui anatoka vipi. Humo wakina Mahone na Bellick wote walikua ni wachumba tu, wanasubiri muijiza ya Scofield amtoroshe mwamba anaeitwa Whistler ili watoke nae.
Nne haina utoto kama movie nyingine za MCUNipo episode ya pili ya dare devil naomba niseme kwamba nilichelewa kukijua hiki kigongo na nnajuta kwanini sikuangalia dare devil zilizo pita😊😊😊
Nilikuwa nazifananisha na mamuvi ya spiderman The Adam, Dead pool, Agent of shield n.k kumbe nilikuwa nakosea.
Kwanza ina episode za kutosha, pili ina kamkong'oto ndani yake, tatu ina stori nzuri nne utaongezea mwenyewe
kuna dirt cops wamekipata walichokuwa wanakitafuta
Naomba link ya app maana nikadownload kwa Google inaniambia ni update kwa playstoreTumia moviebox mkuu
Nipo episode ya pili ya dare devil naomba niseme kwamba nilichelewa kukijua hiki kigongo na nnajuta kwanini sikuangalia dare devil zilizo pita😊😊😊
Nilikuwa nazifananisha na mamuvi ya spiderman The Adam, Dead pool, Agent of shield n.k kumbe nilikuwa nakosea.
Kwanza ina episode za kutosha, pili ina kamkong'oto ndani yake, tatu ina stori nzuri nne utaongezea mwenyewe
kuna dirt c
Daredevil season 2 tunaipata mwakani kama unaweza zitafute Daredevil original zipo season 3Nipo episode ya pili ya dare devil naomba niseme kwamba nilichelewa kukijua hiki kigongo na nnajuta kwanini sikuangalia dare devil zilizo pita😊😊😊
Nilikuwa nazifananisha na mamuvi ya spiderman The Adam, Dead pool, Agent of shield n.k kumbe nilikuwa nakosea.
Kwanza ina episode za kutosha, pili ina kamkong'oto ndani yake, tatu ina stori nzuri nne utaongezea mwenyewe
kuna dirt cops wamekipata walichokuwa wanakitafuta
Hiyo ya karma hata Mimi nimekutana na hiloApp ya ONESTREAM sijui imepatwa na shida gani juzi nimedownload movie 5 HD kuja kuangalia movie zote ni CAM zimelekodiwa kwenye ukumbi wa cinema , nimedownload movie hizi zote sio HD
GLADIATOR 2
WORKING MAN
CAPTAIN AMERICA
BONHOEFFER
nimedownload series ya KARMA ( korea) nimekuta kuna episode inadakika 3 mara nyingine inadakika 16 wakat episode zote inatakiwa ziwe na dakika kuanzia 45
Nine bodies ni Kali sana naipa 8.5/10 ina story nzuri ilipangiliwa vizuriYapi maoni yako
Sema hiyo haina subtitleTumia moviebox mkuu