Series (Special thread)

Series (Special thread)

No ni Psychological drama Inatoka Mei 16, 2025
20250411_221517.jpg
 
Wakuu kumbe Fargo kali kinoma aiseee apa naanza season 2 sasa
Huwa napenda series za hivi aise inakuwa na ladha flani ivi kwanza settings zake ni small towns afu pia local sio naangalia series zilizojaa umjini mwingi mpaka inakera afu storyline mbovuuuu kama hii gangs of london yaani tena ilivoishia watakuja kutoa season nyingine aisee sitarudia kuchoma mbs zanguu
Episode ya kwanza tu kaitazama.hiyo gangs of london nikajua hamna kazi humo kumbe nililinda mb zangu ki halali.

Fargo nitaitafuta
 
Mwaka huu mpaka mwezi huu nimeona movie 2 tu zenye nafuu black bag na the gorge zilizo Baki nilikuwa natizama huku nasinzia tu
Black bag sikuikubali
The gorge ilinichukua siku 3 kuimaliza kwasababu haikufanya nikae chini niifuatilie mwanzo hadi mwisho.

Instead nilipenda hizi
Novocaine
Demon city
Go ahead brother
Love lies
Oblitersted(movie/series)
Na nyingine nimezisahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom