Hiyo shooter nimeona storyline yake nimeipenda ingawa bado sijaiangaliaKuna chuma chake kimoja kinaitwa shooter niongeza hapo Kuna lone survivor pamoja na mkwaju unaitwa The Other Guys
Hiyo shooter nimeona storyline yake nimeipenda ingawa bado sijaiangaliaKuna chuma chake kimoja kinaitwa shooter niongeza hapo Kuna lone survivor pamoja na mkwaju unaitwa The Other Guys
Ucheleweshagi kabisaInaingia kwenye movies za wkend hiiView attachment 3292969
Itafute ulikuwa bado haujawahi kuicheki?Hiyo shooter nimeona storyline yake nimeipenda ingawa bado sijaiangalia
Dogo alipata hadi hamu pale za kumtamani yule anae mfanyia mahojiano kale katoto kanatabia za kiwakiNaskia hiyo adolescence kuna episode nzima ni katoto kanafanyiwa mahojiano tuuu mwanzo mwisho, kuna Hadi jamaa alinishambulia humu kwamba mimi sijui drama na story napenda movie za kupigana ngumi tu. Kisa eti series ina rating kubwa, jiheshimu we jamaa😀😀 hiyo adolescence hakuna series pale ni takataka
Mule ni Convo zake ndio nzuri ukienda kwa story utapotea pale 😀😃😃Hiyo adolescence ushubwada mtupu,
😂😂😂Hiyo adolescence ushubwada mtupu,
😀😃😂😂😂
Nilijua niko peke yangu!!!
Ndio mkuuItafute ulikuwa bado haujawahi kuicheki?
Sasa kama hupendi/hujui movies/series zenye drama nzuri usiambiwe kisa unapenda mangumi?Naskia hiyo adolescence kuna episode nzima ni katoto kanafanyiwa mahojiano tuuu mwanzo mwisho, kuna Hadi jamaa alinishambulia humu kwamba mimi sijui drama na story napenda movie za kupigana ngumi tu. Kisa eti series ina rating kubwa, jiheshimu we jamaa😀😀 hiyo adolescence hakuna series pale ni takataka
Tayari hiiIkitoka uilete
Kavamia huyo hapo huyo Itakuwa anapenda action tuKuna mtu alikuja wangu wangu kuniomba severance, kisa ameona ina viewers wengi na rate kubwa.. baada ya kumpa ikamshinda, anakuja kutoa shombo eti season mbaya sijui wazungu wameipendea nini..
Nikamwambia simply tu sio mahadhi yako, usiseme mbaya!
Link kijana. Kwamgu nimeikosa
Kumbe bado sio hd aiseeLink kijana. Kwamgu nimeikosa
Hii ipo kwenye pc tayariWazee wa Anime, mchekini Dante son of sparda View attachment 3294285