Series (Special thread)

Series (Special thread)

Carleen dosho12 if cap fits Mr Q
20250405_220554.jpg
 
Mkuu em nipe maelezo ya hiyo seeder inatokea baada ya kudownload kule torrent, ina maana gani ??
Maana yake wewe tayari unalo file yaani limekufikia so wewe unapotaka kudownload kitu ni vyema ukatafuta kile checnye seeders wengi kuliko leechers sababu inamaanisha kuwa hilo file tayari watu wengi wameshalidownload na wameliacha online ili wengine walidownload kwa urahisi na litakuwa na speed nzuri kwa kudownload maana leechers ( wachumaji) ni wachache na ndo maana watumiaji wa torrents wanahimiza sana watu ku seed ili faili ulilolidownload leo kesho na mwenzako alikute bado lipo hewani nae adownload.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom