Series (Special thread)

Series (Special thread)

MOVIE: THE HIT LIST

ni single movie ya 2011 kuna jamaa mmoja ni engineer anayekutana na siku mbaya kabisa, mshikaji anadaiwa deni na ameambiwa asipolipa siku hiyo atafanywa kitu mbaya na akamuahadi anayemdai atamlipa soon maana anaenda kupandishwa cheo aliohaidiwa na boss wake kwa hiyo siku gafla anapandishwa cheo mtu mwingine ambaye aliiba idea yake ambayo iliyomfanya apandishwe cheo badala yake,siku hiyo hiyo anarudi home anamfumania mke wake amefanya mapenzi na rafiki yake ambaye ndio alikuwa mshenga wake wa harusi.unafikiri baada ya haya yote nini kitatokea don't miss this movie
Carleen
Vincenzo Jr
Mr Q
dosho12
Inaingia kwenye movies za wkend hii
Screenshot_20250404-120544.png
 
Complete complete complete

Hapa najaziajazia minofu ili nikikaa nimekaaView attachment 3292979View attachment 3292980
Bado adolescence na
Mobland naona zipo episode kma 4 hivi ili mambo yakae mswano
Mkongwe kwa kupitia michango yako tu humu ndani najua kabisa hiyo Adolescence inaenda kukupotezea MB zako, haina chembe chembe ya vyuma unavyovikubali.
 
Adolescence inafuata
Baada ya kuona ina ratings ya 8 pwenti samusingi nikasema ngoja niruke na hiki kigongo maana nina tabia kuwa nikiona movie au series ina ratings ya 8 kupanda juu huwa sijiulizi mara mbili kuipakua.

Ila kupitia hii ADOLESCENCE nimejifunza kuwa watu weupe ni watu emotional sana, natakiwa kuwa makini na hizi ratings zao. Wamenitrick mimi kuangalia huu mchongo, nikajikuta najuta kumaliza MB zangu.
 
Ndio, ila labda alimaanisha haina action 😄😄
Kama ni ndio hizo pia ni ladha zangu kwa sabab maisha haya maisha hujui lipi linaweza kukutokea na namna gani unaweza kulitatua.

Napenda kuona namna watu wanacheza na vifungu vya sheria kuruka viunzi vya kesi zinazo wakabili.
Nikikumbuka kwenye series ya your honor namna yule mzee alivyo chezesha sheria nikabaki kinywa wazi.
 
Nilidhani inaendana na
Defending jacob
Your honor
Presumed innocent?
Mkongwe, nakuhakikishia utajuta. Mwenzako hii kitu ilivyoisha ikabidi nipekue vizuri mafaili ili nione kama kuna vipande vingine vimebaki.

Just imagine episode nzima inaanza watu(familia) wapo ndani, wanapanda gari wanaenda shopping, wanarudi, baba wa familia anaingia chumbani anaangua kilio kizito halafu maandishi yanafuata kumaanisha mchongo umeisha.
 
Hahahaha dah mkuu asante kwa tahafhari
 
Kama ni ndio hizo pia ni ladha zangu kwa sabab maisha haya maisha hujui lipi linaweza kukutokea na namna gani unaweza kulitatua.

Napenda kuona namna watu wanacheza na vifungu vya sheria kuruka viunzi vya kesi zinazo wakabili.
Nikikumbuka kwenye series ya your honor namna yule mzee alivyo chezesha sheria nikabaki kinywa wazi.
😂😂😂
Hivyo vyuma vyote (Defending Jacob, Your honor, Presumed Innocent) havifanani hata kidogo na hii ADOLESCENCE.
Just imagine episode ya 3 nzima ni mahojiano kati ya chalii na shosti fulani Psychologist, episode inaisha Psychologist anaangua kilio kizito.
Hii kitu ilikuwa ni movie ya saa moja na dakika 30.
 
Nimeghairi kuichukua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom