Series (Special thread)

Series (Special thread)

Venom ipi mkuu au zote tu
Hii ya mwisho mkongwe, mimi binafsi haijanibariki, ila hizi kitu nafikiri ni taste and preference, unaweza kuona kitu mbaya wenzako wakaona ni kali ile kinoma.
Kwamfano Gangs of London mimi imenishinda, nilinyoosha mikono season ya pili baada ya kuona mapicha picha ndani ya picha yanakuwa mengi, lakini watu wanaona bado ya moto.
 
Kuna muvi yoyote ya huyo jamaa imewahi kuzingua?
Hii hapa 🚮 🗑️, ukiiona LINDA MB zako.

Crank_final.jpg
 
Kama ni ndio hizo pia ni ladha zangu kwa sabab maisha haya maisha hujui lipi linaweza kukutokea na namna gani unaweza kulitatua.

Napenda kuona namna watu wanacheza na vifungu vya sheria kuruka viunzi vya kesi zinazo wakabili.
Nikikumbuka kwenye series ya your honor namna yule mzee alivyo chezesha sheria nikabaki kinywa wazi.
Your Honor hii nitaitafuta napenda sana series za hivi
 
Ila nimeifuta naona quakity bado ina randana na CAM kuna mwangwi wa sauti nausikia nasubiri wakiipakia muviemod niishushe huko. Sauti haijakaa sawa. Acha nitembee na black bag kwanza
Aisee na mie nilishapita nayo sema umeme huku hamna tanesco wamefanya uhuni aisee umeme ukirudi nitaifuta aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom