Ni kama movie ya TEARS OF THE SUN na 13 hours soldiers in benghazi sijawahi zifuta kabisa ..huwa naogopa kuzifutailo suala la kutofuta movie kuhisi huitendei haki lipo kwa wengi kumbe
NB: kweli kaka kitambo sana mawasiliano nitakutafuta namba yako nimesave kwa kuBOLD
Series kalii sana hii π₯
Wameweka EP zote ?GANGS OF LONDON SEASON 3
Chuma ipo hewani hiyo episode 8
TEAM SEAN & BILL πͺπ»
Napenda akili ya Sean hajui kufikiri mara mbili,yeye ni kukurupuka tu
Yah iko fullWameweka EP zote ?
Ngoja niidownload hiyoYah iko full
Carleen Ngoja nikupe kisa chake Vincenzo Jr hajakuelezea vizuri iko hivi dogo amekamatwa na polisi kwa kuhusiwa amemuua classmate wake so anafanyiwa mahojiano ili ijulikane ukweli na haijulikani je ni kweli ameua au hapana? Na Kama si yeye ni Nani? Maana mazingira yote yanaonesha yeye ndio mshukiwa mkuu na pia ni kwanini classmate ameuwawa yote hayo ni maswali ili upate majibu yake ifuatilie hiyo seriesNipe story yake kidogo Cassano..!!
Unaweza kutoa mkasa kwa ufupi mkuu ili ikinifaa nikaruke nayoNilikuwa naiona gangs of London alafu naipitaga oya nimekuja kuicheki hii series ni Kali mno, yaani nilivyoimaliza dead 99% nikawa nawaza series ipi nyingine ambayo inavibe Kama hiyo dah Kama masiala nikaanza na gangs of London oya ni konyo
Shukrani sana H, hiyo walaqhi' siyo ya kukosa..!!ππCarleen Ngoja nikupe kisa chake Vincenzo Jr hajakuelezea vizuri iko hivi dogo amekamatwa na polisi kwa kuhusiwa amemuua classmate wake so anafanyiwa mahojiano ili ijulikane ukweli na haijulikani je ni kweli ameua au hapana? Na Kama si yeye ni Nani? Maana mazingira yote yanaonesha yeye ndio mshukiwa mkuu na pia ni kwanini classmate ameuwawa yote hayo ni maswali ili upate majibu yake ifuatilie hiyo series
Jobless_Billionaire Inahusiana na mkuu wa magaidi wa London anauliwa na vijana wawili walipewa hiyo kazi baada ya hapo familia ya mkuu wa magaidi wanataka kulipa kisasi kwa kuchunguza wakina Nani wamehusika na kifo cha huyo baba yao na kwanini wamemuua huyo mzee wao kisanga kinaanzia hapaUnaweza kutoa mkasa kwa ufupi mkuu ili ikinifaa nikaruke nayo
Sasa hivi nimepumzika kuangalia mechi za Chelsea Naona Kama nikujipa ugonjwa wa moyoShukrani sana H, hiyo walaqhi' siyo ya kukosa..!!ππ
Na hivi bado unaishabikia Chelsea ama umewaacha wenyewe..?π
Haupo peke yako ndugu yangu, Mimi sitaki hata kuwasikia sahii..!!πSasa hivi nimepumzika kuangalia mechi za Chelsea Naona Kama nikujipa ugonjwa wa moyo
π€£π€£π€£Haupo peke yako ndugu yangu, Mimi sitaki hata kuwasikia sahii..!!π
Yani trela haitoshi mpaka upewe mkasa? Basi wewe ungana na wanao tizama bongo muvi ππ(kwa sauti ya wallace karia)Mkuu Vincenzo Jr , Gang of London mkasa kwa ufupi ili nikipendezwa niitazame