Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Ngoja niidownload hiiSitaongea sana
Ngoja niidownload hiiSitaongea sana
Plot twist iliyofanyika humu ni hatari..!🙌Sitaongea sana
😀😃😃😃Hii Ballerina promo nyingi kumbe haijatoka wala haikuwahi kutoka.. nikajua hii promo ya sasa itakua ni kwa ajili ya part 2 ikiwa part 1 ishatoka!
Hii ndio itakuwa episode ya mwisho
Season 2 naianza rasmi leo
Lete link ya PARADISE onstream siipatiMkuu nambie series au movie unayotaka nakupa link hapa
Hivi juzi naicheki pirates bay naona holaHii Ballerina promo nyingi kumbe haijatoka wala haikuwahi kutoka.. nikajua hii promo ya sasa itakua ni kwa ajili ya part 2 ikiwa part 1 ishatoka!
Kaka yake alikua akimkataa sana. Nilikua nammaindi ila alikua na facts..
Ni Eric 2..??
No ni ile ya kwanza mwanangu 😎Ni Eric 2..??
😂😃😀😀Jamaa ni mtu wa diliKaka yake alikua akimkataa sana. Nilikua nammaindi ila alikua na facts..
Nimeona 30 May nikajua ni ya pili..!!No ni ile ya kwanza mwanangu 😎