Series (Special thread)

Series (Special thread)

1742490424179.png

Deception.

Hii niliangalia kama episodes 2 kitambo kidogo nikaacha kwa kukosa episodes zingine ila nimeikumbuka. Nataka kuitafuta niianze tena.
 
Ngoja niitafute
Nadhani utaipenda. Huwa napenda shows za aina hii ya mtu anakipaji flani alafu anajikuta anakitumia kusaidia polisi au kufanyia uhalifu.

Nyingine ya zamani niliyoipenda ni Psych

1742491678332.png

Jamaa anajifanya yeye ni psychic na kujichomeka polisi kama consultant wao. Ni kama The Mentalist ila ni comedy zaidi.

Niliangalia pia High Potential, ila sikuelewa kwa nini huyu mama anavaa vinguo vifupi kiasi kile bila sababu yoyote inayoweza kuendana na story. Ila ni aina za shows zinazoburudisha na kuchangamsha akili ya mtazamaji.

1742491899056.png

Kuna Castle pia. Nikipata muda nitaitafuta niianze tena.

1742492046342.png
 
Nadhani utaipenda. Huwa napenda shows za aina hii ya mtu anakipaji flani alafu anajikuta anakitumia kusaidia polisi au kufanyia uhalifu.

Nyingine ya zamani niliyoipenda ni Psych

View attachment 3277818

Jamaa anajifanya yeye ni psychic na kujichomeka polisi kama consultant wao. Ni kama The Mentalist ila ni comedy zaidi.

Niliangalia pia High Potential, ila sikuelewa kwa nini huyu mama anavaa vinguo vifupi kiasi kile bila sababu yoyote inayoweza kuendana na story. Ila ni aina za shows zinazoburudisha na kuchangamsha akili ya mtazamaji.

View attachment 3277821

Kuna Castle pia. Nikipata muda nitaitafuta niianze tena.

View attachment 3277823
Shukrani sana mkuu ngoja nizidownload hapa kwenye pc na wifi ya ofisi😎😎
 
WiFi ya ofisi tena? 😀 😀 😀

Natania tu. Nahisi 95% au zaidi ya watu wote wanaodownload burudani yoyote wanategea WiFi za maofisini kwao.
Unakutana na vijana wanapanda daladala kurudi Mbagala na wapi wapi huko saa tatu au nne usiku unafikiri ni wachapakazi kinoma kumbe walibaki ofisini kujipakulia ma movies na series za kuangalia ghetto weekend.
 
😀😀😀😀Upo sahihi mkuu sema Mimi home na pia Nina wifi pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom