Series (Special thread)

Series (Special thread)

mkuu unamaanisha oz?

hahaaa kitu cha oz na mwenyewe unakipata ndugu??? Nilikicheki lakini sema kipo kama flaaat sana, hakibadiliki, kipo fresh lakin all things considered
 
Umeona eeh nilivyojua ni shoga nikaacha kuangalia,anapendeza akiwa straight sijui nikishaona mtu gay naumia
Tyrant na power umezicheki?
Tyrant naona season 3 itakuwa noma maana jamaa wanataka awe rais wao ila waarabu wanaipiga marufuku kwakuwa inawadharilisha wanasema wao hawatawali kihivyo...tho Power ni noma 50cent kamuua mjomba wake je atakutwa na hatia je mke wa ghost atachukua hatua kani baada yakukuta kinda lake limeuwawa nadhani in season 3 itakuwa na majibu!
 
mkuu wewe ndo unaendana some interests na mimi kwny ii issue ya series...umesahau na hizi ( a must watch)

game of thrones (g.o.t)
the originals
rome
the crusades
dracula...
Kwa haraka haraka nazikumbuka izo mkuu

game of thrones vp naona kama imeisha uhondo maana wale ma strong character kama lannisters wameshaanguka pia
 
kama wewe ni mpenzi wa gangster kama mimi kaicheki pia the sopranos sema hii ni ya kitambo kidogo, kuna movies za gangster kali kama godfather 1, casino na american gangster hua sizichogagi aisee

Mkuu sopranos kitambo, naskitika tu backup disk yangu iliharibika so siwezi irudia the complete thing, godfather ndo usiseme kabisa especially part 2 ya al pacino mwenyewe, American gangster dah ndo denzel finest alinifanya mpaka nianze kuiga msemo wake ma men!!! Hahaha
 
game of thrones vp naona kama imeisha uhondo maana wale ma strong character kama lannisters wameshaanguka pia

Game of thrones bado wakuu, lannister bado kale kafupi master planner mwenyewe, na dragon lady anakuja kwa kasi,
 
Nitangulize samahani najua hii thread ya series, but crime or by gangster films kama kuna mwenye mpya?
 
Nilikuwa naangalia Trailer ya hii The Flash.. Nakutana na sura ya Oliver Queen na mishale yake.. Kwa walio iona naomba feedback kidogo.....? real G Viol
 
Attachments

  • 1449347319342.jpg
    1449347319342.jpg
    17.6 KB · Views: 170
  • 1449347327835.jpg
    1449347327835.jpg
    18 KB · Views: 164
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naangalia Trailer ya hii The Flash.. Nakutana na sura ya Oliver Queen na mishale yake.. Kwa walio iona naomba feedback kidogo.....?

Hizi series arrow na flash kwa kias kikubwa zimekuwa zikihusiana ndo mana unaona hvyo mana ata uyo wa flash anapigaga colabo kwa oliver
 
Hizi series arrow na flash kwa kias mikubwa zimekuwa zikihusiana ndo mana umrona hvyo mana ata uyo wa flash anapigaga colabo kwa oliver[/QUOTE]

Arrow niliangalia two seasons... Zilizofuata zikuzipenda nakaikkacha..... Nina usiku pack bundle ndo nataka nianze na hii the flash... Vp mkuu kuna series gani NZURI uliyo wahi iona.... Especially za style hii... Legend of the seeker, revolution, na hii mpya Into the badlands..
 
Arrow niliangalia two seasons... Zilizofuata zikuzipenda nakaikkacha..... Nina usiku pack bundle ndo nataka nianze na hii the flash... Vp mkuu kuna series gani NZURI uliyo wahi iona.... Especially za style hii... Legend of the seeker, revolution, na hii mpya Into the badlands.. fredkowaski
 
Gotham vip mkuu ushaicheki
 
Last edited by a moderator:
Msaada please;
Wakuu naomba kujuzwa huko kitaa SERIES zinauzwaje? Nataka kufanya biashara ya Series ila nashindwa kupanga bei

Na je nzuri ni ipi kuuza kwa episode, season au series kadhaa in bulk?
 
the boardwalk empire ni series ambayo ipo based on a true story ya jamaa anaitwa enoch thompson enzi za prohibition huko united states
phohibition maana yake ni kipindi ambacho pombe ilikua hairuhusiwi kuuzwa ilikua ni kitu illegal kama ilivyo madawa mengine ya kulevya
sasa hiyophohibition ikaleta balaa kwani ilichangia kuongezeka kwa wahalifu wengi waliokua wanauza pombe kwa bei juu kwa kua ilikua bidhaa adimu nina uhakika 100% kama uliipenda breaking bad the boardwalk empire lazima uipende bro, mi mwenyewe hua nairudia rudia kuiangalia maana ni kali balaaa

Asante ndugu nimeshaipenda tayari ngoja niitafute
 
Msaada please;
Wakuu naomba kujuzwa huko kitaa SERIES zinauzwaje? Nataka kufanya biashara ya Series ila nashindwa kupanga bei

Na je nzuri ni ipi kuuza kwa episode, season au series kadhaa in bulk?

Season wanauza 3000 so ukianza kwa 2500 au 2000 kwa kulingana na eneo lako na ushindani uliopo pia na uelewa na upenzi wa series waweza Fanya biashara.

Hope ushafanya utafiti wa soko that's why unauliza prices.
 
Nashukuru mkuu kwa maelezo hayo, nitayafanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom