real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
hapana, hizi movie au series huwa zinaweka mkazo sana kwenye torture kuliko hata story yenyewe, sasa nashangaa watu wanaopenda zaidi torture kwenye movie kuliko yale maudhui general ya kwenye movie wana matatizo ya saikolojia au vp, mimi siogopi kuangalia horror lakini movie inayoonyesha horror kama main theme yake mimi naipuuzia,Mkuu inaonekana wewe muoga sana, mi hizo ndo nazipenda ila za kizombi hapana.