Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mimi nimeipenda breaking bad..nashauri series gani nyingine kama hiyo.asante

Mkuu breaking bad imenifundisha mengi,na ni series kali sana sijui nifananishe na ipi ila hebu angalia burn notes au leverage nadhani unaweza kuvutiwa,but still breaking bad ipo juu
 
Sijazicheki,ipoje?....real husband of Hollywood umeicheki?sielewi hata ni series au nn ila inachekesha

Haha hio ndio Kevin hart yupo au nimechanganya,naangalia real housewives of Atlanta,love n hiphop hizo ni reality show I think sawa na hio real husband...
Tyrant ni nzuri inahusu middle east country abbudin na governance yake itafute hii am sure utaipenda
Power ni ya 50 cent drug issues ina compete na empire,I prefer power zaidi
 
Ngoja nizitafute,zitakuwa kali tu
 
Mkuu breaking bad imenifundisha mengi,na ni series kali sana sijui nifananishe na ipi ila hebu angalia burn notes au leverage nadhani unaweza kuvutiwa,but still breaking bad ipo juu

asante..ngoja nianze na hizi ulizonitajia..
 
Mkuu nilivyoangalia ni kama legend of the seeker ,hiyo legend nimeangalia ila sijavutiwa na series za type zile,mi napenda aina za series kama
- leverage
-barn notice
- strike
- preason break
-strike back
Yaani ukiangalia ni kama ndani yake kuna mambo ya intelijensia
Au hata dexter,kuhusu mafia au zile za comedy how I met your mother

Sasa hapo hapo ongezea

American Odyesis (japo imefungiwa inavyodaiwa baada ya kuichafua marekani)
Tyrant
Xiii(japo hii ya kitambo)
Scandal
 
Revolution mwanzoni hainogi ila imenogeshwa na huyu jamaa
gusfring.jpg

Huyo jamaa mtata..inanoga kama mtu ukianza unafatilia ile concept ya umeme kukatika dunia nzima na all states including powerful state kucollapse na kurudi katika hali kama ya feudalisim and feaudal states,mwandishi wa hii kitu mjanja sana
 
hiyo boardwalk empire ninayo ni kali,nilidownload bahati mbaya nia yangu ilikuwa kudownload empire,ni kali sana,nimeangalia season zote 3

zipo hadi season 5 broo, alafu ipo based loosely on a true story, and true historical figures
 
huyo jamaa mtata..inanoga kama mtu ukianza unafatilia ile concept ya umeme kukatika dunia nzima na all states including powerful state kucollapse na kurudi katika hali kama ya feudalisim and feaudal states,mwandishi wa hii kitu mjanja sana
huyo jamaa mbona ni wa kwenye braking bad hiyo scene uliyochukua hii picha alikua anaitwa gustavo fring
 
huyo jamaa mbona ni wa kwenye braking bad hiyo scene uliyochukua hii picha alikua anaitwa gustavo fring

Mkuu ila kwenye series zote hizo mbili alikwepo
 
zinahusu nini ndugu..maana hadi sasa sijaona kama breaking bad

the boardwalk empire ni series ambayo ipo based on a true story ya jamaa anaitwa enoch thompson enzi za prohibition huko united states
phohibition maana yake ni kipindi ambacho pombe ilikua hairuhusiwi kuuzwa ilikua ni kitu illegal kama ilivyo madawa mengine ya kulevya
sasa hiyophohibition ikaleta balaa kwani ilichangia kuongezeka kwa wahalifu wengi waliokua wanauza pombe kwa bei juu kwa kua ilikua bidhaa adimu nina uhakika 100% kama uliipenda breaking bad the boardwalk empire lazima uipende bro, mi mwenyewe hua nairudia rudia kuiangalia maana ni kali balaaa
 
Breaking bad mie sijaona,its mission and conpiracy movie au iko vip?

Kwenye breaking bad alikwepo labda hukumaliza season zote,alikuwa drugs lord wa ki-mexico,akaona anaharibiwa biashara akaamua kushirikiana na Walter ,akamkutanisha walter na wataalam wake,baadaye akamaua kumwua Walter pale alipomwalika,akajifanya amemletea zawadi ambayo ni kinywaji,ili kuhakikisha kinywaji ni salama akafungua hapo hapo halafu akaanza kunywa halafu akampa Walter anywe,Walter alipokunywa tu jamaa akaenda toilet kujitapisha ili atapike sumu asife
 
the boardwalk empire ni series ambayo ipo based on a true story ya jamaa anaitwa enoch thompson enzi za prohibition huko united states
phohibition maana yake ni kipindi ambacho pombe ilikua hairuhusiwi kuuzwa ilikua ni kitu illegal kama ilivyo madawa mengine ya kulevya
sasa hiyophohibition ikaleta balaa kwani ilichangia kuongezeka kwa wahalifu wengi waliokua wanauza pombe kwa bei juu kwa kua ilikua bidhaa adimu nina uhakika 100% kama uliipenda breaking bad the boardwalk empire lazima uipende bro, mi mwenyewe hua nairudia rudia kuiangalia maana ni kali balaaa

Dah umenikumbusha mbalii, Nucky Thompson, hatari sana hii series, hata ukirudia haichoshi, breaking bad pia na repeat season 1 to 5
 
Hivi saivi hakuna gangster series on air kama boardwalk empire, breaking bad, gang related, mob city and such?
 
hivi saivi hakuna gangster series on air kama boardwalk empire, breaking bad, gang related, mob city and such?

kama wewe ni mpenzi wa gangster kama mimi kaicheki pia the sopranos sema hii ni ya kitambo kidogo, kuna movies za gangster kali kama godfather 1, casino na american gangster hua sizichogagi aisee
 
kwenye breaking bad alikwepo labda hukumaliza season zote,alikuwa drugs lord wa ki-mexico,akaona anaharibiwa biashara akaamua kushirikiana na walter ,akamkutanisha walter na wataalam wake,baadaye akamaua kumwua walter pale alipomwalika,akajifanya amemletea zawadi ambayo ni kinywaji,ili kuhakikisha kinywaji ni salama akafungua hapo hapo halafu akaanza kunywa halafu akampa walter anywe,walter alipokunywa tu jamaa akaenda toilet kujitapisha ili atapike sumu asife
hii naona hujaielewa vizuri mkuu, au umesahau kidogo central character wa breaking bad alikua ni walter white, huyu jamaa wa kimexico gustavo fring hakumtegeshea walter white sumu ya kinywaji, aliwategeshea wale ma associate wake wa zamani wa kimexico alafu ndio akajitapisha kama ulivyosema, walter alikuja kumuua gustavo fring kwa kutumia bomu ambalo lilimuharibu upande mmoja wa mwili kama umekumbuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom