Kaputupu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,486
- 1,179
Wakuu nawashauri muitafute series inaitwa Gotham hamtajuta
Hahahha very dope hiyoo.. Unamkumbuka Penguin?
Wakuu nawashauri muitafute series inaitwa Gotham hamtajuta
Tatizo ni hii Style ya kusubiri Episode moja moja inakera sanaa.... Natamani nisiangalie hadi imalize yote.... Season one
Hii style kinoma,naisubiria blindspot episode 11,wiki ya pili kimya!
Wakuu nawashauri muitafute series inaitwa Gotham hamtajuta
Wakuu samahani kidogo, nilikua natumia mtandao wa Tigo kupakua hizi series walikua na offer ya sh. 1500 gb 15 saa 5 usiku - saa 11 aLfajiri ,sa hivi wamezipunguza mpk gb 5,Vp nyie mnatumia mtandao gani kupakua series
Blindspot imeshakamilika season 1 tayari ikiwa na episode 10
Niliiangalia kama episode 3,nikaona inazingua nikaidelete tu
Mbona GB 5 unashusha season nzima
NARCOS '' ndo habari ya mjini must watch
Wakuu samahani kidogo, nilikua natumia mtandao wa Tigo kupakua hizi series walikua na offer ya sh. 1500 gb 15 saa 5 usiku - saa 11 aLfajiri ,sa hivi wamezipunguza mpk gb 5,Vp nyie mnatumia mtandao gani kupakua series
Tumia airtel gb 10 sita ad 12 asee kwa 600 tu au zantel unlimited data kwa elfu moja mia tano usiku mmoja
Kwangu shida ni kwamba nimeonja radha ya 4G.. Nikipata GB 5 + 4G swafi... Ila sina budi... Maana tigo ndo hivoo hametuharibia yaani... Better Smart... Wana vifurushi vzr tuu
Yeah 4g ni kwere babu yan ndan ya masaa mawili nikaua gb 8 fasta aseee
Best way smart ukiwapatia weekends... Safi sanaa... Unaandaa list ya movies zako na tv shows.. Ikifika weekends unafanya yako na 4G...
Mwaka huu noma mpka hap nina lain nne nahs nitaongeza nyingn asee
The flash Ni miongoni Mwa series za kisasa ambazo kiukweli Mimi binafsi hazinigusi, na kwa masikitiko makubwa hata ARROW nayo inaelekea huko huko kwa sasa.
hii series imejaa imagination na scientific fiction ambazo kwa upande wangu ilinishinda kuifuatilia na niliona kabisa naibiwa 'chenji' yangu tu.
nakushauri kabla ya kuanza kuitizama, isome plot yake kwanza