Ngoja niidownload hiyo hapaNani anakajua haka kajamaa kanajiita killing machine
Tayari ishajaa baadae nikirudi home naicheki
Leta kama vile vyuma vya obliterated wengine sisi hizo horror hatuzipendiChuma hiki
Hapo kwenye obliterated aliupiga mwingi sana yaani sanaLeta kama vike vyuma vya obliterated wengine sisi hizo horror hatuzipendi
Tafuta movie inaitwa "weekend in Taipei" ya Moto sanaNovichok humu imeleta kizaa zaa kizito.
Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akila kitako cha bastola cha mbavu na pumzi ikakata. Nikajisemea ewaaa haya mambo nilimisi kuyaona kwenye movies za james bond na zile za bourne. Hii ni zawadi ya Xmas wametupatia NIMEIPENDA
KAMA UNAYO NYIMGINE IWEKE HAPA
Kila mtu anakitu chake anaweza kukifanya mwingine haweziNinaweza kurudia prison break(na nimesha fanya hivyo) ila sina hamu ya kuirudia the jackal. Prison break habari nyingine
Shukrani sana ndugu yanguUmetisha sana mkuuu@vincenzo jr
Taja zenye maajabu tuangalie mkuuJackal alfabeti tuu Haina maajabu
Ila kweli. Kama kila mtu amgekuwa na moyo kama wa Bianca wangefika mbali sanaViongozi karibia wote ambao vyeo vyao licha ya u senior wao kazini, vnatokanana misheni walizo wahi kufanya na kuzikamilisha. Who knws labda baadae angekuwa Director General wakitengo
Huyo anazingua sanaTaja zenye maajabu tuangalie mkuu
Unazingua mkuu 😂 😃😀😀😃 kuwa na adabu aiseeJackal alfabeti tuu Haina maajabu
😀😃😀😀 Ile one two one two 😃😀😀Ila hii scene kwenye Squid Game 2 ndio ilinichekesha. Imagine unapewa hii uchonge na usikosee😂😂 View attachment 3187126
Jaribu hii Hdo boxNimejaribu onstream kwenye iPhone inakataa. Hv hakuna app ambayo naweza kudownload movie kwenye simu ya iPhone? Vincenzo Jr na Wengine
Wengi wameishia EP 6 nani aangalie upindeUnazingua mkuu 😂 😃😀😀😃 kuwa na adabu aisee
Sio kweli 😀 😀 labda weweWengi wameishia EP 6 nani aangalie upinde