Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ila Saul bhana! 😁
Kuna kipande alikatisha jangwani na Mike, akajikuta amemaliza rizevu yote ya maji. Jamaa ikabidi anywe mkojo wake wenyewe! 😂
images.jpeg
 
Novichok humu imeleta kizaa zaa kizito.
Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akila kitako cha bastola cha mbavu na pumzi ikakata. Nikajisemea ewaaa haya mambo nilimisi kuyaona kwenye movies za james bond na zile za bourne. Hii ni zawadi ya Xmas wametupatia NIMEIPENDA

KAMA UNAYO NYIMGINE IWEKE HAPA
 
Kwa nini Bianca ana hamu sana ya kumkamata Jackal? Naona kama upelelezi unamtesa. Sijamaliza hiyi series nipo episode 9 ila naona Bianca anajitesa sana hadi anakosa muda na familia yake.

The way anavyom treat Damian kazini sijapenda, anamfanya kama mtumwa hivi ila sio mbaya naona Bianca na Jackal (Charles) ndio wanafanya series iwe tamu
 
Viongozi karibia wote ambao vyeo vyao licha ya u senior wao kazini, vnatokanana misheni walizo wahi kufanya na kuzikamilisha. Who knws labda baadae angekuwa Director General wakitengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom