Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,822
- 81,838
Nimewapa watoto PC wacheze game si wamefuta data zote ngoja niende bar kunywa kwanza nikirudi nianze upya ๐๐๐๐๐
Mkuu kwanza umetisha sana leoNimewapa watoto PC wacheze game si wamefuta data zote ngoja niende bar kunywa kwanza nikirudi nianze upya ๐๐๐๐๐
Nikirudi saa 8 usiku narudisha file zote ndugu yangu hapa ngoja kwanza Nile biaMkuu kwanza umetisha sana leo
Pili unakumbuka hili lilinipata ukanitumia link๐๐ค
๐๐๐Naweka band of brothers ile ya kivita hapoHiyo thrones itoe hapo
Sugar#AppleTV+ shows that were Renewed in 2024:
โข Slow Horses (5 & 6)
โข Hijack
โข Invasion
โข The Last Thing He Told Me
โข Monarch: Legacy of Monsters
โข For All Mankind
โข Drops of God
โข Palm Royale
โข The Reluctant Traveler
โข Dick Turpin
โข Presumed Innocent
โข Loot
โข Dark Matter
โข Criminal Record
โข Acapulco
โข Sugar
โข Shrinking
โข Your Friends & Neighbors
โข Silo (3 & 4)
โข Bad Monkey
SEASON GANI UNASUBILI MUENDELEZO WAKE ??
Kali sana!๐๐๐Naweka band of brothers ile ya kivita hapo
Hamna kupoa humoKali sana!
Hivi sugar na penguin nliwezaje kuzimalizaSugar
Silo
Dark matter
Hijack
Pressumed innocent
Sawaa choma ini hilo mbinguni tutapewa mwili mpyaNikirudi saa 8 usiku narudisha file zote ndugu yangu hapa ngoja kwanza Nile bia
๐๐๐Hivi sugar na penguin nliwezaje kuzimaliza
Nami niishushe sasa ๐๐ ulisena ile inayopatikana onstream tayari ina lugha za sauti mbili?
Ile bado kaka Kuna link jana ya medeberiyaa ni dubbed Kabisa chukua iliyo andikwa 10bit usiguse nyengine Kuna link pitia kwa juu utaona ya onstream ni Korea ile sio dubbedNami niishushe sasa ๐๐ ulisena ile inayopatikana onstream tayari ina lugha za sauti mbili?
Mimi naweza kudiriki kwa kusema kwamba Prison Break na 24 hours ndio wazazi wa series zooote duniani.
Linapokuja suala la matumizi ya akili, umakini, utulivu, ubora, kuforecast etc Mzungu ni kitu kingine.
Kawafumua sana ๐๐Wewe hutakuwa hukukutana na 'Pointman'. Jamaa sijuu ni P.I (private investigator) ama nini, ila anapiga kazi karibu na beach na karibia clients wake wote ni mademu. Kila episode ikiisha jamaa anakuwa ameopoa client wake.