Series (Special thread)

Series (Special thread)


Mmefikiwa squid game
Screenshot_20241226-163847.jpg
 
Ninaweza kurudia prison break(na nimesha fanya hivyo) ila sina hamu ya kuirudia the jackal. Prison break habari nyingine
Mimi naweza kudiriki kwa kusema kwamba Prison Break na 24 hours ndio wazazi wa series zooote duniani.

Linapokuja suala la matumizi ya akili, umakini, utulivu, ubora, kuforecast etc Mzungu ni kitu kingine.
 
unakosea kuna breaking bad na game of thrones
24 hours ni ya kitambo saaana, sasa angalia miaka ile ya DVD na bado jamaa wakatoa muvi dongo namna ile.

Angalia Prison Break season ya 1 imetoka lini na bado ikawa ya moto vile. Hizi GOT na Breaking Bad ni nzuri pia hasa GOT ila tayari walau wamekuta mwanga ni mkubwa sana ktk tasnia ya Series.

24 Hours na Prison Break ndo wametuingiza ktk ulimwengu wa series mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom