Series (Special thread)

oohh awesome .. asante sana..

najua history yake kidogo Marco Polo.
Alivyoenda ku travel Asia..
Nadhani nitaipenda . Ngoja niitafute sasa..

Sure, hii utaipenda (angalia usiunguze keki!!,joke:popcorn:), inaoneshwa na netflix kwa sasa na inavutia sana na unaweza ifananisha na Game of thrones lakini hii ina utofauti kidogo. Kama umesoma story za msafiri huyu basi utaipenda sana maana alifika hadi Uchina na kwa Wamongoli.
 
hahahahahahah Keki bado ina saa na nusu kumalizika hahah lol
nakumbuka nilivyosome alikuwa mtu wa kwanza mweupe ku explore Asia ndie alie gundua
The Silk road. najaribvu ku download sasa hivi.. shuuuuuu lol
 
Breaking bad ni noma

Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake

Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea

Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series
 
Mkuu Game of thrones ndio best ever series for me kama unapenda ancient stories hii ndo the best hata watching rates zake kubwa imekuwa ikiongoza kila wanapotoa new season

Mkuu nilivyoangalia ni kama legend of the seeker ,hiyo legend nimeangalia ila sijavutiwa na series za type zile,mi napenda aina za series kama
- leverage
-barn notice
- strike
- preason break
-strike back
Yaani ukiangalia ni kama ndani yake kuna mambo ya intelijensia
Au hata dexter,kuhusu mafia au zile za comedy how I met your mother
 
Breaking bad ni noma

Mshkaji very decent baada ya kugundua anaumwa kansa na amebaki miezi kadhaa kansa imuue na akiangalia familia ni masikini hana cha kuwaachia, akaamua kujiingiza kwenye biashara ya madawa ya kulevya ili kupata pesa ya chap chap kabla hajafa kwaajili ya familia yake

Bahati kansa ikaisha na biashara ikamnogea

Bonge moja la stori, sio yakukosa kama unapenda series

Aiseee hiyo ndo my number one naikubali mno
 
Vampire diaries
Lost-- my favourite series
Angle of mercy
Martin
Merlin

Hahaha martin naipenda sana hata narudia,angel of mercy sijui,merlin nilishindwa ni kama inaniboa tu,lost napenda sana,vampire diaries nzuri ila mi huwa series au movie ikishakaa imagination ambazo hazipo kama movie za avatar nakuwa naangalia tu ila najua hapa hamna reality
 
Mkuu nilivyoangalia ni kama legend of the seeker ,hiyo legend nimeangalia ila sijavutiwa na series za type zile,mi napenda aina za series kama
- leverage
-barn notice
- strike
- preason break
-strike back
Yaani ukiangalia ni kama ndani yake kuna mambo ya intelijensia
Au hata dexter,kuhusu mafia au zile za comedy how I met your mother

OK mkuu watu wana differ interest m huwa naangalia zote but sipendi comedy hiyo Game of thrones wako serious na iko vizuri sana hata Mimi legend of the seeker niliishia season two
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom