Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Yule mtoto wa kilatini mwepesi sana ukimgusa kidogo analegea yuleSema yule Mama Carlito anaukauzu flan hivi Kuna mahala alimkazia Baba Carlito ikabidi afunguke michezo yake ya Atari ndio siyo 🤣🤣🤣
Shemeji🤣🤣🤣
Hii scene nimejikuta nimeisahau kabisa, nadhani ni masikitiko ya kumpoteza mtoto wa nguvu Bianca yamefanya nisahau kuhusu kifo cha shemeji.
Hahahahahahaaa mwamba alimpanga kidogo tuu akalegea, 😁Yule mtoto wa kilatini mwepesi sana ukimgusa kidogo analegea yule
Mi mbona sijaipenda the diplomatThe penguin
The diplomat
A man in full
Paris has fallen
The night manager
Bodyguard
Eric
Fallout
Traitor
Patriot
Fubar
Hizo mkuu hapo niongeza ni
The Americans na Tulsa kings
Kweli kabisa 😂😂Kwenye muvies huwa wanapona 😁😁
Mkuu una kipaji cha kuandika story, nenda haraka pale Kaole bagamoyo ukakuze kipaji😂Bianca tunampenda ila ndiyo hivyo tena mkuu.
Episode ya kwanza itaanza na shot ya juu ikiangalia miamvuli meusi ikinyeeshewa mvua nyepesi. Camera itapan huku na kule kuonyesha magari meusi yakilindwa na majamaa yenye suti nyeusi, miwani meusi na vi earpice vyeupe vyenye coils masikioni. Tutagungundua kuwa watu hao wapo makaburini na litaonyeshwa jeneza lililofunikwa na bendera ya UK likishushwa kaburini mdogo mdogo. Picha ya Bianca kwenye frame itaonekana kwa pembeni, halafu watatupa shots za Isabel akiwa na sura ya ukauzu, huku Paul, mume wa Bianca, na mtoto wake wakiwa wanalia....
Baada ya hiyo scene ya mazishi itakayokkuondolea kila doubt kwamba demu hayupo tena duniani, ndiyo utaanza kuona makeke ya Jackal sasa.
Nikipata mda nitajaribu kuiangalia.Game of thrones nimetoka kuilidia kuiwatch mwaka jana
Mimi natumia netnaija km natumia simu kupakua moviesKaka ebu nielekeze jinis ya kuitumia hii
😀😀Ni nzuri sana mbona 😃
Moviebox na onstreamSsiku movies mod ikipigwa nyundo tutatumia site gani ambayo itakuwa inatupatia zenye dual audio?
Wale kwa mikwara ni balaaHahahahahahaaa mwamba alimpanga kidogo tuu akalegea, 😁
Shukran mkuu. Ila hiki ni cha kizushi tu 😀 😀Mkuu una kipaji cha kuandika story, nenda haraka pale Kaole bagamoyo ukakuze kipaji😂
Today tv series na medeberiyaaSsiku movies mod ikipigwa nyundo tutatumia site gani ambayo itakuwa inatupatia zenye dual audio?
Nimecheki EP zote 3 ni kalii sanaHivi kuna ambaye ameangalia hii series? Ni nzuri au miyeyusho tu?
View attachment 3179587
Tazama hizo zingine nilizoweka ndugu yanguMi mbona sijaipenda the diplomat
Katika muvi/series za drug dealing na utakatishaji fesha huyu amewazidi wote. Kama unayo nyingine unayo dhani inaizidi breaking bad itaje hapa