Series (Special thread)

Series (Special thread)

wadau wa arcane season 2 mmeionaje?
1733587139727.png
 
View attachment 3171836
Mkuu Mr Q huyu jamaa hii misheni kafanikisha kwa tabu sana je watampata ngoja tuone EP ya mwisho jumanne Cc Carleen

Misheni imekula sana muda wa mdau huyu 😃
Jambo la kwanza amezagamua ishu moja tata kwa kumuua most notorious guy huko aliye kuwa ana appointment na shemeji yake 😁😁

Jambo la pili anafukuzwa na boti na sauti zinasikia
We have eyes on active shooter huku mawimbi ya maji yanaruka huku na kule kwakweli imefika patamu 😁😁

Jambo la tatu sijui walio mpa tenda ya kumuuwa mzee wa river watapokeaje hii sapraiz ya mtu aliye kuwa anawalaza na viatu kuuwawa

Jambo la nne ni kama ana watu kwenye system serikalini ambao ni kama watampa protection. Jambo ambalo mwanadada wetu black girl halijui.. Japo mwenzake amesha chimbwa mkwara na ameamua ku give up na anasema hawezi kuendelea kumfuatilia jackal
 
Exactly 💯 brother Kuna boat ili pita ikazalisha wimbi ambalo lilifanya akose target ya mapema kabla yule boga hajaanza kuogelea.. mission ilipaswa wafe wawili tu matokeo yake kaua watatu...😃😃 Jumanne naona mbali sana aisee😁😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom