Series (Special thread)

Series (Special thread)

😎😎😎😎
IMG_20241216_220831_636.jpg
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Game of throne
 
Nimepitia coments za wadau kila mtu anatukana anasema trela mbaya 😁😁😁
Mimi niidownload lakini sina mpango nayo Kuna jamaa nilimdownld hii 😃😀😀 ila na Mimi nilianza kuitamani ila ulivyo sema naipiga chini Bora nicheki hizo zingine 😃😀😀😀
 
Alimfuata muhuni Spain kule kwenye dojo lake akayatimba
Bianca amezingua sana. Yaani alikuwa na imani kuwa yeye anatosha kumlambisha mchanga bwana Jackal, tena ndani ya himaya yake!?

Ila huyu Jackal ana roho mbaya aisee, shemeji mtu nae ajiangalie sana.

Yule dingi nae anataka kumzunguka Jackal, season 2 itakuwa ya moto sana, Mungu asaidie wasituwekee ufirauni wao tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom