Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,997
- 46,717
Kwa jinsi walivyo ibania season1 tunaweza kuisubiri hii series kwa miaka hata mieili mbeleSeason 2 ndo atajua hajui
Kwa jinsi walivyo ibania season1 tunaweza kuisubiri hii series kwa miaka hata mieili mbeleSeason 2 ndo atajua hajui
Daaah!Nishatizama yote kaka niyenyewe na bianca amevuta 😀😃😃😃 na link nimeziweka humu ipo pia movie box
Kajamaa kana roho mbaya sana, hakafai kuwa steringi, hako ni kaadui complete package!Ila hako kajamaa kaliwalipua wenzake bila huruma. Kana hadaa nyingi sana
Iliachiwa ramsiImevuja au imeachiwa rasmi??
Alimfuata muhuni Spain kule kwenye dojo lake akayatimbaDaaah!
Why Cenzo, why?
Mtoto mzuri sana huyu
Ilikubali?Ngoja nijaribu link ya pili
Huyu ndio kafanya mwanetu hadi yule bi dada kamkimbia
Ramsi au sio??Iliachiwa ramsi
Ndioooo. Penyenye za szn 2 lini tena?Ilikubali?
Kumbe ina episodes 11Ilikubali?![]()
no zipo kumi kakaKumbe ina episodes 11
itakuwa mwakaniNdioooo. Penyenye za szn 2 lini tena?
Ndioooo. Penyenye za szn 2 lini tena?
ndio mkuuRamsi au sio??
Pc za programmer au software engineer huwa sio rahisi kuzikuta zikiwa na components zake.
Nimelitoa mkuuPc za programmer au software engineer huwa sio rahisi kuzikuta zikiwa na components zake.
Battery hamna