Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ni yenyewe au na wewe bado hujaicheki(?)
Nimeimaliza ep10 kuna vipande vya ajali wametunyima namna alivyo okoka na namna alivyo wakimbia wale jamaa kule baharini aliko fanya mauaji.

Tuachane na hayo hii series ni tamu na hiki kipande kimeishia patamu mno
 
1734035371407.jpeg
 
View attachment 3175481

Hivi huyu mzee haogopi kumfanyia udhurumati The Jackal mtu mbaya😇
Anacho kitafuta atakipata. Ni swala la muda. Assassination aliyo ifanya baharini ilikuwa ya risk mno na imemleta matatizo kwenye famila yake pamoja na ajali za hapa na pale halafu anataka alale mbele na hela zake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom