Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,253
- 79,836
Ngoja niidownloadKuna hii single inaitwa air force 1 down ni kali sana itafuteni
Ngoja niidownloadKuna hii single inaitwa air force 1 down ni kali sana itafuteni
Ukisha ishusha uje utuhakikishie kwanza kama ni yenyewe 😁😁
ndio inaingia hapaUkisha ishusha uje utuhakikishie kwanza kama ni yenyewe 😁😁
Utaleta mrejeshoNgoja niidownload
ndio mkuuUtaleta mrejesho
Umeiangalia? Au bado unaishusha?wakuu ni yenyewe sema file lina seed wachache sana
ni yenyewe sema walio shea file ni wachacheUtaleta mrejesho
| Seeders : 2 Leechers : 29 | |
|
hata kushusha imegoma waliosambaza file wapo wachacheUmeiangalia? Au bado unaishusha?
Ok ngoja nisubiri wababe akina onstream waipandishe kwanzahata kushusha imegoma waliosambaza file wapo wachache
hadi mimi naisubiria huko ikifika saa 10 jioni watawekaOk ngoja nisubiri wababe akina onstream waipandishe kwanza
Ila hako kajamaa kaliwalipua wenzake bila huruma. Kana hadaa nyingi sana
huyu ana hatari sanaIla hako kajamaa kaliwalipua wenzake bila huruma. Kana hadaa nyingi sana
sasa hapa ndiyo nianze kutazama kwa ku relax, mambo ya kulambishwa utamu yanaboa..!!🙌