Ha ha haSeries kali mchawi lugha tu
Ha ha haSeries kali mchawi lugha tu
Hivi ile ya Fatma kulamba Damu ndiyo pregnancy complications au daah nilishangaaHuyu ni Fatima au ? From series
View attachment 3127621
Rudia kutazama Episode Ya 6 season 2. Ndio utaona Kwanini FATIMA Yuko weird SanaHivi ile ya Fatma kulamba Damu ndiyo pregnancy complications au daah nilishangaa
Ngoja niidownload hiiONE ORDINARY DAY
Ni korean series ni nzuri sana ina jumla ya episodes 8 inahusiana na kijana mmoja ambaye anafanya kazi ya taxi wakati amemaliza muda wake wa kazi akiwa amepanga kwenda kwenye party ya marafiki zake kuna mteja mmoja ambaye ni mwanadada anataka kwenda mahali anajikuta hana jinsi na hela anahitaji anamchukua.
Wakati anampeleka wakiwa kwenye maongezi wanajikuta wanakuwa washikaji mpaka inapelekea yule dada kumpa mshikaji madawa ya kulevya aonje na mshikaji hajawahi kutumia lakini anajikuta naye anaonja, baadae demu anampeleka kijana kwenye ghetto lake na wanajikuta wanafanya mapenzi.Baada ya muda kijana anaenda kuoga baada ya mzangamuo anamuacha demu yupo kitandani alivyorudi baada ya kuoga anakuta demu ameuwawa kwa kuchomwa kisu na haijulikani aliyemuua ni nani? na kwasababu gani? Kijana ikabidi akimbie kuogopa msala wakati ameondoka anakumbuka amesahau ufunguo wa Taxi yake so inambidi arudi achukue so anafanikiwa kuchukua na pia ikafanya achukue hadi kisu kilichotumika kufanya mauaji baada ya kuondoka njiani anasimamishwa na traffic kwasababu alikuwa anaendesha gari kwa speed sana na wakati anasimamishwa kwa kosa hilo hapo hapo huyo traffic anapata taarifa kuwa kuna mauaji yamefanyika unadhani nini kitatokea? Hapa sasa ndio utamu wa series unaanzia don't miss it
Vincenzo Jr
Nifah
Cash Money Forever
Herzogg
Carleen
Kaka tumia onstream app nilishaweka hapa hiyo ni fasta tu download downloader yake splayer ipo playstore app yake ipo googleNaombeni link ya the GunMan 2015. Hii ya torrent inanambia nitamaliza kuidownload baada ya siku 5
View attachment 3128133
Wakorea nina wakubali sana wanajua kutengeneza story nzuri kuna baadhi ya mikwaju wanatoaga ni kali sana.Ukiwatoa wazungu wanafuata ni wakorea kwa kuwafuatiliaNgoja niidownload hii
Naunga mkono hoja mkuu jamaa wanajua sana yaani sanaWakorea nina wakubali sana wanajua kutengeneza story nzuri kuna baadhi ya mikwaju wanatoaga ni kali sana.Ukiwatoa wazungu wanafuata ni wakorea kwa kuwafuatilia
Ngoja nifanyie kaziKaka tumia onstream app nilishaweka hapa hiyo ni fasta tu download downloader yake splayer ipo playstore app yake ipo google
Chimbo zuriKaka tumia onstream app nilishaweka hapa hiyo ni fasta tu download downloader yake splayer ipo playstore app yake ipo google
Ya 2021??ONE ORDINARY DAY
Ni korean series ni nzuri sana ina jumla ya episodes 8 inahusiana na kijana mmoja ambaye anafanya kazi ya taxi wakati amemaliza muda wake wa kazi akiwa amepanga kwenda kwenye party ya marafiki zake kuna mteja mmoja ambaye ni mwanadada anataka kwenda mahali anajikuta hana jinsi na hela anahitaji anamchukua.
Wakati anampeleka wakiwa kwenye maongezi wanajikuta wanakuwa washikaji mpaka inapelekea yule dada kumpa mshikaji madawa ya kulevya aonje na mshikaji hajawahi kutumia lakini anajikuta naye anaonja, baadae demu anampeleka kijana kwenye ghetto lake na wanajikuta wanafanya mapenzi.Baada ya muda kijana anaenda kuoga baada ya mzangamuo anamuacha demu yupo kitandani alivyorudi baada ya kuoga anakuta demu ameuwawa kwa kuchomwa kisu na haijulikani aliyemuua ni nani? na kwasababu gani? Kijana ikabidi akimbie kuogopa msala wakati ameondoka anakumbuka amesahau ufunguo wa Taxi yake so inambidi arudi achukue so anafanikiwa kuchukua na pia ikafanya achukue hadi kisu kilichotumika kufanya mauaji baada ya kuondoka njiani anasimamishwa na traffic kwasababu alikuwa anaendesha gari kwa speed sana na wakati anasimamishwa kwa kosa hilo hapo hapo huyo traffic anapata taarifa kuwa kuna mauaji yamefanyika unadhani nini kitatokea? Hapa sasa ndio utamu wa series unaanzia don't miss it
Vincenzo Jr
Nifah
Cash Money Forever
Herzogg
Carleen
Yumo kwenye His dark materials piaView attachment 3122660
Watu wengi hawajui kama huyu mwamba ni mbongo mwenzetu
Ndio mkuuYa 2021??
Naam Kabisa kaka humu Kila kitu kipoChimbo zuriView attachment 3128574
Hiyo app unaweza ukadownload movie kwa mb chache kama nkiri?Kaka tumia onstream app nilishaweka hapa hiyo ni fasta tu download downloader yake splayer ipo playstore app yake ipo google
Ukishaanza na wakorea tu, hapo mi ushanifukuzaONE ORDINARY DAY