Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,018
- 46,823
Muvi/series za huko wanapaswa kungalia watoto waliopo advabced level na mwaka wa kwanza vyuoni.Ukishaanza na wakorea tu, hapo mi ushanifukuza
😁😁😁
Muvi/series za huko wanapaswa kungalia watoto waliopo advabced level na mwaka wa kwanza vyuoni.Ukishaanza na wakorea tu, hapo mi ushanifukuza
Ndio unachagua low quality zipo kakaHiyo app unaweza ukadownload movie kwa mb chache kama nkiri?
Ngoja niidownload hiiView attachment 3129645
Kuna hiki chuma
Wengine tunaangalia ubora zaidi haijalishi ni taifa ganiUkishaanza na wakorea tu, hapo mi ushanifukuza
Asante mkuu me napendelea zaidi 480pNdio unachagua low quality zipo kaka
Zipo hizoAsante mkuu me napendelea zaidi 480p
PoaZipo hizo
Episode 3 mpk sasa sijaipata
1 warrior = 6,000 Marco Polo.Naama hapo ndio penyewe ndugu anza nayo hiyo kalii sana 🔥
Duh1 warrior = 6,000 Marco Polo.
So1 ya Polo inatosha kabisa kufanya l maamuzi sahihi ya kuachana nayo.
Chief Ahsante kwa ushauri wako.
From hili dude nianze kuliangalia sass
Kesho EP ya 5From hili dude nianze kuliangalia sass
ONE ORDINARY DAY
Ni korean series ni nzuri sana ina jumla ya episodes 8 inahusiana na kijana mmoja ambaye anafanya kazi ya taxi wakati amemaliza muda wake wa kazi akiwa amepanga kwenda kwenye party ya marafiki zake kuna mteja mmoja ambaye ni mwanadada anataka kwenda mahali anajikuta hana jinsi na hela anahitaji anamchukua.
Wakati anampeleka wakiwa kwenye maongezi wanajikuta wanakuwa washikaji mpaka inapelekea yule dada kumpa mshikaji madawa ya kulevya
Maelezo mazuri nitaitafuta. ShukraniONE ORDINARY DAY
Ni korean series ni nzuri sana ina jumla ya episodes 8 inahusiana na kijana mmoja ambaye anafanya kazi ya taxi wakati amemaliza muda wake wa kazi akiwa amepanga kwenda kwenye party ya marafiki zake kuna mteja mmoja ambaye ni mwanadada anataka kwenda mahali anajikuta hana jinsi na hela anahitaji anamchukua.
Wakati anampeleka wakiwa kwenye maongezi wanajikuta wanakuwa washikaji mpaka inapelekea yule dada kumpa mshikaji madawa ya kulevya aonje na mshikaji hajawahi kutumia lakini anajikuta naye anaonja, baadae demu anampeleka kijana kwenye ghetto lake na wanajikuta wanafanya mapenzi.Baada ya muda kijana anaenda kuoga baada ya mzangamuo anamuacha demu yupo kitandani alivyorudi baada ya kuoga anakuta demu ameuwawa kwa kuchomwa kisu na haijulikani aliyemuua ni nani? na kwasababu gani? Kijana ikabidi akimbie kuogopa msala wakati ameondoka anakumbuka amesahau ufunguo wa Taxi yake so inambidi arudi achukue so anafanikiwa kuchukua na pia ikafanya achukue hadi kisu kilichotumika kufanya mauaji baada ya kuondoka njiani anasimamishwa na traffic kwasababu alikuwa anaendesha gari kwa speed sana na wakati anasimamishwa kwa kosa hilo hapo hapo huyo traffic anapata taarifa kuwa kuna mauaji yamefanyika unadhani nini kitatokea? Hapa sasa ndio utamu wa series unaanzia don't miss it
Vincenzo Jr
Nifah
Cash Money Forever
Herzogg
Carleen
Poa kijanaMaelezo mazuri nitaitafuta. Shukrani