Series (Special thread)

Series (Special thread)

Tulsa King nipo nayo bega kwa bega, napenda jinsi Mr. Dwight anavyoishi kishikaji na vijana wake, naona acting yao ipo so natural yaan they all enjoy to work with Stallone a.k.a Rambo, my fav actor of all the time
 
Season ya ngapi sasa?
 
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.
Imaginations
 
Screenshot_20241012_155457_Chrome.jpg

Watu wengi hawajui kama huyu mwamba ni mbongo mwenzetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom