Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,259
- 79,858
Exactly sema dah wanamtesa sana jamaa ila soon nae atawaumiza mmoja mmojaBoyd si wanamtesa kwanza kisaikolojia then ndio wammalizie
Exactly sema dah wanamtesa sana jamaa ila soon nae atawaumiza mmoja mmojaBoyd si wanamtesa kwanza kisaikolojia then ndio wammalizie
Hii kalii sana 🔥 bonge Moja la kazi hiiiView attachment 3124113
Wale wa Crime Mystery mzigo huu hapa...
Sema inafanana sana na Presummed Innocent
Wameshaitoa ipo tayari kakaVincenzo hivi hii ThePanguin mbona kimya jumapili hawajatoa?
Mzee muhuni sana yule. Halafu hilo jina linachekesha ukifikiria kweli wale ndege wanatembea kama yeye hivyo hivyo.CC Hziyech22 RATIBA HII HAPAView attachment 3124763
Hivi ni kweli inafanana na presumed innocent?Hii kalii sana 🔥 bonge Moja la kazi hiii
Yes nimeikuta AsanteWameshaitoa ipo tayari kaka
Shukrani mkuuCC Hziyech22 RATIBA HII HAPAView attachment 3124763
Kabisa kaka 🤣 😁Mzee muhuni sana yule. Halafu hilo jina linachekesha ukifikiria kweli wale ndege wanatembea kama yeye hivyo hivyo.
NdioHivi ni kweli inafanana na presumed innocent?
Hii series kalii sana 🔥 😎SILO season 2 November 15 😇😇😇😇 trailer tayari imetoka juliete ni mzima hajafa