Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,297
Ushaipakua episode ya 4?Inawezekana Tabitha ndio dada yake vikita Cc rip faza_nelly Greatest Of All Time
Ushaipakua episode ya 4?Inawezekana Tabitha ndio dada yake vikita Cc rip faza_nelly Greatest Of All Time
Tayari kaka ndio naicheki hapa 😎Ushaipakua episode ya 4?
Niko road nikifika tu home cha kwanza kufanya ni kuishusha hiyo episode 4🤣Tayari kaka ndio naicheki hapa 😎
Yeah the penguinHuyu ni ridddler wa Batman au mwingine??
Naam Kabisa kaka 🤣 😁Niko road nikifika tu home cha kwanza kufanya ni kuishusha hiyo episode 4🤣
Tuendelee kuwaspoil🤣
Pale naona mpaka Kuna lile fumbo litatuliwe kwanza inasemekana Tabitha hii ni mara ya 3 anarudiNimeshangaa Sana huyu Mwandishi anajua Sana Aisee yaani kanichanganya Sana.
Hii series mbona naikosa piratebay
todaytvseries.one
Kalii sana hiyoMkuu nashukuru ushauri wako Warrior nimeikubali nipo Ep 6 - So1, watu wanapigwa kama ngoma.
Nimeanza So3 naona imeishia ya 3.Kalii sana hiyo
Ya 4 mwakani inakujaNimeanza So3 naona imeishia ya 3.
Sawa. Sasa nishauri nikimaliza warrior nianze series kali nyingineYa 4 mwakani inakuja
The OldmanSawa. Sasa nishauri nikimaliza warrior nianze series kali nyingine
Person of interest - NimeangaliaThe Oldman
Personal of interest
The boys
Wu assassin
Frontier
Viking Valhalla
Barbarian
Marco polo # hii ndio balaa sana
Ya mwisho outer banks
Ni hizo mkuu ni hatari sana hizooo
Naama hapo ndio penyewe ndugu anza nayo hiyo kalii sana 🔥Person of interest - Nimeangalia
Viking Valhalla - Nimeangalia mi mpenzi wa series za mapanga.
Nianze na hiyo Marco polo
Ahsante kwa List
Haya mambo sisi Wa Africa ndiyo tulitakiwa tunaandika story za hivi lakini wazungu wameiba Kila kitu.Pale naona mpaka Kuna lile fumbo litatuliwe kwanza inasemekana Tabitha hii ni mara ya 3 anarudi
Mno yaani brother sema Boyd na wale viumbe Kuna connection fulaniHaya mambo sisi Wa Africa ndiyo tulitakiwa tunaandika story za hivi lakini wazungu wameiba Kila kitu.
Huyu Police kwenye Episode 4 kazingua sana
Boyd si wanamtesa kwanza kisaikolojia then ndio wammalizieMno yaani brother sema Boyd na wale viumbe Kuna connection fulani