Series (Special thread)

Series (Special thread)

IMG_0286.jpeg
 
Huu mtindo wa kuwaleta character wa kike kuchukua nafasi za character wa kiume naona umeshamili sana Hollywood
Hapana mkuu huyo ajachukua nafasi embu cheki trailer vizuri hiyo inamuhusu ballerina ambaye anajitegemea pekee na hajachukua nafasi ya John wick maana hata humu John wick yupo pia huyo demu aliokotwa na yule bosi mwenye hoteli hiyo ndio story yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom