Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndugu yangu tumia app hii


Na ya kudownload kapo Play store ngoja nikuonyeshe downloader yake inaitwa sprayer afu app link hiyo kwa juu hapo Kila kitu unapata Mimi ndio nimeanza kutumia wiki ya pili sasa hivi Kuna series na movie kibao shu
Ndugu yangu tumia app hii


Na ya kudownload kapo Play store ngoja nikuonyeshe downloader yake inaitwa sprayer afu app link hiyo kwa juu hapo Kila kitu unapata Mimi ndio nimeanza kutumia wiki ya pili sasa hivi Kuna series na movie kibao View attachment 3116430
Shukrani nimeipata
View attachment 3116430
 

Attachments

  • Screenshot_20241006_130117_OnStream.jpg
    Screenshot_20241006_130117_OnStream.jpg
    429.6 KB · Views: 22
Ni balaa mkuu wamengia usiku na wakagonga jini wao wamezani mtu na ambulance Yao wameyatimba 😂😁😁 Tabitha kawaambia wanafanya ubishi tukutane EP ya 5View attachment 3119551
Ila Tabitha ana ufala mwingi, kafosi kurudi wakati wenzao kule hata msosi ushaanza kuwa wa shida!! Tusubiri tuone ataenda na mbinu gani kuwaokoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom